THE EXAM IS FOR SHANGWE. EWE KIDATO CHA SITA FANYA AU YATAFAKARI HAYA YAFUATAYO
1. Usiwaze /kubweteka eti tutapitishwa ko wengi tutafaulu. Kumbuka mkono mtupu haulambwi.
2. Usitumie muda mwingi...
Wapi ntapata Vifaa vya maabara kwa bei nafuu kwa Dar?
Wakuu ni wapi naweza kupata chemicals za maabara ya Secondary physics na Chemistry kwa bei nzuri hasa maduka ya wahindi hapa Dar?
Shule ipo...
1. College
2. Institute
3. University
4. School
Nataka kujua kikukbwa hapo ni kipi, na nini kigezo cha kila moja kupewa jina lake, wanaangalia nini hasa?
Kuna shule moja iko Mbeya, wilaya ya Rungwe ( jina linahifadhiwa), ni private school.
Kutokana na janga la corona shule zote ilitakiwa kufungwa, sasa mkuu wa shule hiyo aliamua kutowaruhusu...
Vision
To have competent Health Information personnel who will provide health information services effectively at different health training and care settings to cope with the existing and emerging...
Habari wakuu, natafuta mtu anayeweza kufundisha masomo ya Arts ili tuweze kufungua Tuition Centre. Mtu huyo awe anakaa Tabata, pia awe jobless. Nimeshafanikisha mpango huo wa kituo kwa 70% hivyo...
Viva JF
Nikiwa sijui kinachoendelea kwenye kwenye mitihani ya kidato cha nne iliyoanza hii wiki, nikawa nawasiliana na dogo mmoja finalist ananiambia wametangaziwa kuruhusiwa kuingia kwenye...
Naomba anaejua Center nzuri inayofundisha Review ya Accounting Technician-Level II hasa kwa somo la Principles of Accounting and Auditing(T05) anifahamishe. Naomba Centre hiyo iwe Dar es Salaam na...
CALCULUS: DERIVATION OF THE LAPLACE EQUATION IN SPHERICAL COORDINATES
Derivation of Laplace Equation in Spherical Coordinates is a challenging task, not that it is difficult but rather; the list...
Hlw guys, naomba kwa mwenye vitabu vya adnce science softcopies anitumie please (PCM/PCB) Chochote ktk hivyo hasa chand 1 ya phz.
Email.binbond300@gmail.com
Kilitokea mwaka 2007 jijini Darusalama. Baada ya kijana kumaliza kidato cha sita alichaguliwa kusoma Tumaini Iringa.
Likizo ilipo fika alienda kumtembelea bibi yake.
Bibi: HIVI UNASOMAGA WAPI...
Habar waungwana ivi kumbe kuna uwezekano wa mtu kusoma uhasibu bila ufaulu wa math's na akafanya vizuri kuliko waliofaulu math's, hii nimeandika baada ya mshikaji kupiga diploma ,degree then...
Salam wanajukwaa
Mara nyingi kumekuwa na majibizano juu ya mwanafunzi au mhitimu wa chuo kipi ni bora na yupi si bora?. huenda mkaona chapisho hili lisiwe na maana sana, au mkadhani ni upotezaji...
Ndugu wana bodi heshima kwenu...
Naweza kusoma Master ya HRM yaani human resources management nikiwa shahada ya kwanza nimesoma utawala na uongozi katika elimu??
Habari wanajukwaa pia hongereni na sikukuu ya Eid Mubarak pia tuendeleee kuchukua tahadhari Kwa kunawa mikono na maji tiririka na sabuni pia usisahau kuvaa barakoa uendapo kwenye highly populated...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.