Habari za muda Wana jukwaa,
Mimi ni mwanafuzii nilie hitimu kidato Cha sita mwaka Jana lkn wakati wa udahili nikipata chuo kikuu Cha Ardhii University lakini mm ndoto zangu n kwenda kusoma nje ya...
Naombeni ushauri, je ni nchi gani itanifaa kwenda kusoma journalism kati ya North Korea, South Korea, Holland, Canada, France, New Zealand?
I want where it is possible to study while working...
Kuanzia miaka ya 2000 kurudi nyuma Tanzania ni moja ya nchi zilizokabiliwa na upungufu mkubwa wa walimu katika ngazi zote za elimu kuanzia msingi mpaka Chuo kikuu.
Wakati wa awamu ya nne Serikali...
Kufuatia tamko la Serikali juu ya kufunguliwa kwa vyuo na vyuo vikuu vyote nchini pamoja na
wanafunzi wa kidato cha sita hapo Tarehe 1 Juni 2020, Mtandao wa Wanafunzi Tanzania – TSNP
unapenda...
Habari wana JFM, nashukuruni sana kwa mchango wengu wa mawazo na ushauri kwa thread iliyopita. Kiukweli mmenisaidia sana.
Leo nimerudi kwenu ninaomba kujua ni lini hawa nacte watafungua dirisha...
Mimi ni muandishi na nimeandika jumla ya vitabu 12 vya taaluma kama ifuatavyo:
-Historical times form 5(245pages)
-Historical times form 6(289pages)
-History paper two revison Q&A(230pages)...
Wadau heshima kwenu,
Nawapongeza kwa jitihada zenu za kujikinga na COVID-19.
Hello ndugu natakiwa kutengeneza bajeti kwa ajili ya Master degree proposal. So kwenye template ya hii kitu anisaidie...
Habari zenu wapendwa poleni na majukumu Nina kijana wangu anataka kusomea udaktari lakini anataka akimaliza 4m4 aende chuo, sasa ni njia zipi atapitia?
Mwanafunzi wa Sekondary Kuanzia Form 1-Form 4 weka swali linalokutatiza then usaidiwe na walimu waliopo humu na wenye uelewa na mada husika.
**karibuni Msiogope**
"Mitihani ya kidato cha sita itaanza rasmi tarehe 29 Juni na itafanyika hadi tarehe 16 Julai 2020, mitihani hiyo ya kidato cha sita itaenda sambamba na mitihani ya ualimu"-Joyce Ndalichako -...
Yaani Watoto wamekaa karibia Miezi Mitatu bila Masomo, huku wengi Wao wakiwa tayari wameshaathirika Kisaikolojia kulingana na Hofu iliyokuwepo na bila shaka wengine hata Topiki zao hawakumaliza...
Ugandan students at Makerere University have produced their first set of electric buses. Africa Facts Zone on Twitter
Je hawa wanafunzi wa vyuo vyetu wanatengeneza nini?
Naomba sana kura yako,
Mimi naweza kuwa Rais Bora kabisa wa Chama cha Walimu
Nina SHAHADA ya Uzamili katika Elimu toka Udsm 2017
Pia nina degree na Cheti cha Ualimu nilichosomea Ilonga ttc 2003...
Kipindi nimeanza chuo nilikuwa na hulka ya kusoma hivyo nikajikuta nasoma sana nakufahuru vizuri cheti changu kina A na B tu sap nilikuwa naisikia tu lakini huo mwaka nilikuwa na matizo makubwa...
Wakuu karibuni kwa ajili ya maswali na msaada kwa watahiniwa wa kidato Cha nne na sita , hii ni kwa wale wote wanaojiandaa na kuomba vyuo katika course mbalimbali za arts na sayansi...
Helow guyz naomba wajuzi mnisaidie, nimemaliza Diploma ya Mechanical Engineering nikiwa na GPA 2.9.
Naweza kujiendeleza kwa ngazi ya Bachelor kwa ufaulu huo?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.