Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Wakuu Habari Leo nimeona nije na ushauri kidogo kuhusu Watanzania wanaotafuta scholarship za kwenda kusoma nje ya nchi au ndani ya nchi. Nianze kwa kusema tu kupata scholarship ni bahati kama...
1 Reactions
8 Replies
5K Views
The new fodder for the tourism industry is education and related activities, for it fosters the feeling of love, understanding and goodwill. The role of tourism in education is highlighted by the...
0 Reactions
0 Replies
515 Views
Ni vitu gani vya kwanza kabisa unapaswa kusoma kwenye I T na vikakulipa??
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hii inashangaza sana. Inakuaje wanafunzi wa vyuo vikuu wamekaa tu nyumbani na hawaendelei na masomo kisa korona! Hii inawezekanaje? Mnashindwa hata kufanya "online sessions"? Yani prof yuko...
2 Reactions
23 Replies
4K Views
Habari wanajukwaa. Napenda kuuliza kwa yeyote anaefahamu kuhusu entry requirement na vigezo vya mtu kusoma masters katika vyuo vyetu vya hapa TANZANIA kwa mwanafunzi aliemaliza degree ya kwanza...
0 Reactions
33 Replies
32K Views
Vyuo na kidato cha sita kufunguliwa Juni mosi na kwa kuwa COVID-19 imeathiri wazazi kiuchumi kwa baadhi ya wazazi ambao ni watumishi katika secta binafsi kusimamishwa kazi na wengine biashara zao...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Mimi ni A level student nilikuwa naomba mtu mwenye professional ya Chemist anipe facts kuhusu hii course and kama ni marketable and relevant field zake
1 Reactions
21 Replies
7K Views
Baada ya Mh. Rais Magufuli kutangaza wiki ijayo kufungua michezo na Vyuo, Sasa tunakuomba Waziri Mama Ndalichako kutoa mwongozo na kutangaza tarehe rasmi ya kufungua vyuo. Ili kutuwezesha wazazi...
6 Reactions
20 Replies
3K Views
Hili hapa Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu wa Vyuo mmesikia soon wanafunzi wanarejea. Mmejipangaje kuweka protection measures ikiwamo social distancing madarasani kujaa sana,vimbweta kila madarasa kuweka Maji na sabuni etc. Inabidi...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Kwanza nipende kushukuru MUNGU kwa wakati wote ambao bado tuna pumzi, licha ya dunia kumbwa na maradhi ya COVID 19. Leo ningependa tuzungumzie taaluma hii, MAMA WA TAALUMA ZOTE, ambapo imekuwa...
2 Reactions
28 Replies
6K Views
Wakuu, Ili niweze kuwa rubani wa ndege napaswa kuchagua course ipi na chuo gani kizuri? But now nipo Advance na Combination ya masomo ninayosoma ni PGM yaani Physics, Geography & Mathematics...
4 Reactions
13 Replies
11K Views
Wadau wenyeji wa Mwanza nisaidieni shule nzuri ya boarding private inayotoa elimu bora ili nipeleke mtoto
0 Reactions
11 Replies
19K Views
There is no book...absolutely no book that has covered fully sylabus advance maths than UNDERSTANDABLE MATHS advanced level... kwa wanafunzi wa hesabu mlioko katika jukwaa hili la elimu chukueni...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Kwa wadau wote wa elimu,mimi ni msimamizi ya taasisi ya elimu ya TANZANIA INTER-DEPENDENCE PRIMARY SCHOOLS EXAMINATION UNION Tumeweza kubuni mbinu ya kuwasaidia watoto kipindi hiki cha corona...
0 Reactions
0 Replies
855 Views
habar ndugu zangu poleni na majukumu. Naomba kwa yeyote atakaye weza kunijulisha sehemu nitakapo Pata chuo cha kujifunza ufundi wa kusuka nywele mitindo yote za wadada pamoja na ushonaji wa nguo...
1 Reactions
11 Replies
9K Views
Habari. 1. Kwa nini unataka skolashipu -- hasa zile za kwenda nchi za nje? NB: Bongo-michosho, natamani tu na mimi nikasome nje, eksipozjha, duh!, ni majibu ya waombaji kama wewe 28,715. 2. Kwa...
0 Reactions
1 Replies
649 Views
Wakuu, syllabus ya masomo ya kidato cha tano na cha sita current naweza ipata wapi?
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Elimu ya kikoloni imeua ubunifu na imedumaza akili za watu unalazimishwa kukariri mawazo ya watu katika miongo mitatu ya maisha yako! Unalazimishwa kuyafanyia kazi mawazo ya watu for the rest of...
4 Reactions
25 Replies
3K Views
Eti jamani nauliza kwenda chuo (Afya) baada ya kuhitimu kidato cha nne na kuendelea na A-level kipi bora? Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
35 Replies
11K Views
Back
Top Bottom