Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Elimusoft Free online examination system inakuletea huduma ya kufanya mitihani na kusahishwa mtandaoni. Hawa watoto wetu kama notes wanazo kama mitihani a zamani wanayo, kama ni vitabu pia...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Kama kichwa tajwa hapo juu. Mzee baba MAGU mtaani sio kuzuri kabisa aiseee saidia vijana wako tupate angalau pa kukusifia kwa wazee wetu miaka kenda sasa tunatapatapa mtaani bachelor zetu hazina...
4 Reactions
26 Replies
3K Views
Naomba kufahamu hatua za kufuata unapotaka kuendelea na chuo baada ya kupostpone bila ya kufuata utaratibu ie. Kuandika barua katika chuo ulichochaguliwa hapo mwanzo.
0 Reactions
11 Replies
6K Views
Ni sifa ya kila kiumbe kutaka mtoto aendelee kuwepo haswa inaotokea chagua la mtu anayepaswa kubaki. Hii ndio sababu naona haja ya kuwalinda watoto kwa kuwa wao ni vizazi vijavyo. Watoto wana...
0 Reactions
0 Replies
930 Views
Mambo vipi ndugu zangu tuliosoma MOTCO? Kama wewe umesoma Morogoro Teachers College ni lazima mazingira haya utakua unayakumbuka sana. kwanza kuna njia inaitwa MZAMBARAUNI najua kipindi cha...
2 Reactions
39 Replies
12K Views
Wakuu heshima kwenu! Leo Nina kikao Cha dharula na ofisi ya wizara ya Elimu. Hivyo waziri na watumishi wote fungeni ofisi mje hapa. Wakati nawasubiri mfanye maandalizi ninasalamu kwa Chadema na...
6 Reactions
34 Replies
3K Views
Naomba ufafanuzi na muongozo wa wadau wenye uelewa na hizi programmes hasa kwa mazingira ya nchi yetu huko nyumbani kuna ndugu yangu anahitaji kwenda chuo mwaka huu, kwa minajiri ya kujiajiri...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Kama kunavyojieleza hapo juu,naomba formati mpya ya necta form four na topics zake hasa kwa Maths, Physics, Geography, Chemistry na Biology Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Shikamonii wakubwa zangu.. Kwanza natanguliza shukrani kwenu, mimi mdoigo wenu katika kupitia pitia maswal ya physics nimekutana na hili swali phyz nahitaj msaada wenu. Qn a parallel plate...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari zenu, Naomba kuuliza je napataje matokeo ya darasa la saba na la nne ya miaka iliyopita kuanzia 2009 kushuka chini. Maana kila nikijalibu kutafuta siyapati.
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Natanguliza shukuran; na pole kwa usumbufu wa gonjwa la corona; Mimi nimehitimu Diploma in secondary education (Chemistry &biology) (2018) na nilipata GPA 3.5; ila kwa sasa sija ajiriwa ila...
0 Reactions
13 Replies
6K Views
Kutoka kwa Mr Joel Nanauka. MOSI: Kila siku fanya kitu kuhusiana na ndoto yako hata Kama ni kidogo. PILI: Pata mtu wa kuongea nae kila wakati kuhusiana na ndoto yako, Mtu atakae kuwa anakuulizia...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Nisisikie kelele, maana previous mlisema hilo kawape form 2, mara nyanya hili, twende Sawa!! I you want 2 miles, I'll go with you 5 miles. 1. George is blowing across the top of a 350 cm glass...
1 Reactions
4 Replies
849 Views
Habari wana JF. Natumaini nyinyi nyote mnaendelea vyema wakati huu wa janga la COVID-19. Kwa kujitambulisha kwanza, mimi ni kijana Mtanzania na kwasasa ninasomea Shahada ya Uhandisi wa Umeme na...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
habari ya sasa hivi mm ni finalist hapa chuo kikuu cha dar es salaam nilikuwa naulizia unaweza ukaunga kusoma master
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Wacheni kuangalia series A-level Physics takers, brush your brain here from your quarantines. (a) State the quantity that is not conserved in an inelastic collision. (b) Calculate the impulse...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Samahani nahitaji kuuliza kuna course inaitwa uunganishaji vyuma (steel fixation) kama kuna anayejua ni chuo gani nlkinatoa course hiyo hasa kwa vyuo vya veta na namna ya kufanya application...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ni vema ukatumia muda huu kuvirejesha hata kama una mvi kichwani
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Habarini wana JF wenzangu... Mimi ni mwalimu wa "Mathematics" ambae katika degree yangu ya kwanza nilispecialize katika Maths lakini pia nilikua na courses zingine kama Educational Psychology...
0 Reactions
37 Replies
7K Views
Wanafunzi wa Form Six bila shaka wapo kwenye maandalizi ya mitihani yao ya kumaliza na baada ya hapo kujiunga na vyuo mbalimbali. Kuna bwana mdogo amejitolea kufundisha bure kabisa kwa njia ya...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Back
Top Bottom