Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Habari Wapendwa? Kwa walio na ufahamu kuhusu Enginering. Je, hivi mtu huyu anaweza kusoma Engineering. Ufaulu ni Kama Ifuatavyo: Physics Geography Na Mathematics Ivi Kuna Uwezekano Wa...
1 Reactions
36 Replies
3K Views
Hii program ina dahili vijana waliomaliza form 4. Mwaka wa kwanza unafanya foundation program ya NCC level 3. Ukifaulu unaingia Level 4 (mwaka mmoja) baadae level 5(mwaka mwingine mmoja). Kila...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Hi! kwa members wote wa JF Straight to the point kuna haya maswali naomba msaada 1. Find CotB if CosA=1/4 and Cos(A-B)=8 2. Express CosecX+Cosec2X+Cosec4X as the difference of two Cotangents...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari zenu? Kwa wale waliowahi kupitia programs za uhasibu, sio wageni sana kwenye hili somo tajwa. binafsi ni mwanafunzi katika chuo kimoja katika program ya uhasibu ngazi ya shahada. Sasa...
4 Reactions
31 Replies
5K Views
Naomba msaada mwenye kitabu (pdf au doc) cha "Divine Providence" kilichondikwa na S. Ndunguru. Au kama kuna analysis ya kitabu hicho. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
1K Views
The continues student after delivery the government on contrary argues that allowing these girls to continues with studies will translate into encouraging other girl to engage into immoral...
0 Reactions
2 Replies
825 Views
Wakuu habarini za majukumu? Naamini mnaendelea kuchukua tahadhari katika kujikinga na janga linalotukabili sasa hivi la COVID-19. Mimi nimebisha hodi humu jukwaani kuwaomba mnisaidie soft copy ya...
3 Reactions
0 Replies
3K Views
habari zenu wanajamvi, Kama title inavyosema hapo juu. Nimemaliza form 4 mwaka jana na kupata division 3 jijini kampala na sasa nimejiunga na A level. Sasa kiu yangu ni kusomea elimu yangu ya...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Mimi nilimaliza darasa la saba miaka ya nyuma kidogo. Kuna sehemu nikapata kazi na nimefanya kwa muda mrefu sana. Nimepata taarifa TCU kuna programme wameanzisha ambapo nimefuatilia na nikagundua...
0 Reactions
20 Replies
12K Views
Kwa mwenye uelewa wa hili jambo, mtu aliyesoma CBG anaweza kusoma health related courses such as CO, MD Nursing etc.
0 Reactions
23 Replies
44K Views
Tabora school kichwa cha tanzania jinalo we kote lina tajika hapa twakusanyika, tupate kuelimika tabora school kichwa cha tanzania haya tena vijana wote mliomaliza tabora boys...
1 Reactions
37 Replies
9K Views
Poleni na majukumu wakuu. Mungu ni mwema kila wakati.. Kwa wale walio kazini nafikiri watakuwa wanajua kuwa, mtu aliyesoma degree tofauti kwa mfano katika Elimu anaweza akafanya Postgraduate...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Kutoka mtandao wa www.mrbunduki.com Kama kuna orodha ya vitu vinavyochukiwa zaidi na Watanzania basi ni kusoma vitabu. Sijui ni kwasababu gani hasa. Kuenea kwa teknolojia? Kazi nyingi? Uvivu...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
T O P I C. 1. THE RISE OF CAPITALISM IN EUROPE. CAPITALISM... ★Refers tona system of production in which individual personer was own factor of production such as Factory, Industry, land...
0 Reactions
10 Replies
48K Views
Wakuu suala zima ni la ajira kwamba siku hizi ajira kila sekta ni ngumu lakini pia nataka kuuliza ikitokea mtu amemaliza degree ya Public Relations and Marketing anaweza omba kazi sehemu zipi...
0 Reactions
13 Replies
11K Views
Ipi kati ya degree hizi ina unafuu kwenye uwanja wa ajira na kujiajiri? Law Accounts Business Administration Wakuu poleni na mihangaiko ya Kila siku na na ugonjwa unaotusumbua pia tukumbuke...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Thin and red, Skinny and bald, The boy groans on the ground. Swollen stomach Full of waste, Thin legs, Thin arms, Twitch As the boy Fights with flies Over the empty plate. Ten years old, He...
2 Reactions
11 Replies
17K Views
Natumai ni wazima pia poleni wote wenye matatizo kama wapo. Baada ya salamu ningependa kupata ufafanuzi juu ya jambo hili. Mtu ni mwalimu wa secondary na ufaulu wake wa A-level unamruhusu kusoma...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Habari Wana jamvi, Nimehitimu kidato cha nne mwaka 2015 nikawa nimepata F ya Physics na Mathematics, nikasomea certificate ya CHW. Sasa nawaza kurudia masomo hayo niliyofeli. Je, naruhusiwa...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
*ZOEZI LA KUPOKEA TAARIFA ZA WALIMU WOTE NCHINI WA SHULE ZA BINAFSI AMBAO WAMEKUMBWA NA TATIZO LA MISHAHARA YAO KUTOLIPWA KUTOKANA NA JANGA LA UGONJWA WA CORONA LINAENDELEA VIZURI* Zoezi hili...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Back
Top Bottom