Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Wana JF, Hivi anayefanya mtihani kwa usaili wa kujitegemea (private candidate) na usaili wa shule (School candidate, kuna tofauti gani kubwa hasa? School Candidate anafaidika nini ambacho private...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Habari wakuu! Ni ipi inalipa Kati ya kozi ya tourism na ualimu wa science kwa physics kwa ngazi ya degree? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Kutokana na Shughuli zangu za kubangaiza kwenda kombo, huenda nitashindwa kuendelea kumlipia gharama za Chuo Kijana wangu (me) anayechukuwa Diploma ili aweze kuchukua Digrii, naomba msaada...
1 Reactions
18 Replies
4K Views
Tukumbushane kama wewe ulisoma bweni miaka ya 90 hadi 2000. Shule zilikuwa na burudani sana na kitabu pia kilipigwa hasa. Ila uzi huu ni maalumu kukumbushana burudani za mziki na hata mpira...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Wengi tunatambua kuwa kwa sasa Dunia inapitia kipindi kigumu sana kutokana na hili janga la Corona virus. Hii kitu imegusa sehemu nyingi sana. Naomba niweke wazo langu huenda likasaidia wachache...
5 Reactions
19 Replies
4K Views
Pamoja na kwamba watu wengi wanatumia internet kwa kusoma vitabu na hadith mbalimbali maarufu licha ya hayo kitabu kinabaki kuwa kitabu. Sisi wote kwa namna moja au nyingine tunasoma vitabu...
0 Reactions
7 Replies
9K Views
Mtandao wa wanafunzi Tanzania – TSNP unapenda kutoa maoni juu ya jitihada mbalimbali zinazofanyika ili kuendeleza masomo katika kipindi hiki cha dharura ya ugonjwa wa CORONA: Kwanza: Kuhusu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
wana jf naomba mnijuze mshahara wa kuanzia mtu mwenye degree jesh la police ?
0 Reactions
28 Replies
27K Views
Ninaposema maandamano na migomo ni haki yetu wala tusiiogope. Uthibitisho utaupata hata kwa hawa watoto wa mafisadi uvccm wanaposhindwa kuwashawishi baba zao ili wapate haki zao na kuamua...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kama kichwa cha habari je nikifungua current account CRDB nikiweka hela kwa faida inakuwa vipi naomba msaada wa rates na niweke kuanzia shillingi ngapi? Bank zingine ruksa kuchangia kwa upande...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Online Courses
3 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari za muda huu wakuu, hivi kwa mtu anayesoma bachelor of arts in history (UDSM), kwa level ya masters anaweza kuchukua kitu gani? Au lazima aendelee na hiyo ya histoy.. Sent using Jamii...
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Anayekifahamu vizuri chuo ichi anipe ushauri zaidi Kuna ndugu anataka kwenda kusoma, kipo inchini India Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
899 Views
Habari wana JF. Leo nilikuwa kwenye daladala asubuhi nikasikia mama mmoja analalamika kuwa mwanae amesajiliwa kama private candidate kwenye mtihani wa form six. Sababu anasema kuwa mwanaye...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Kwa sasa nipo semista ya mwisho nasoma Procurement amd Logistics chuo cha Muslim University of Morogoro. Ningependa kufahamu ni vyuo gani bora naweza kusoma kozi yangu hii na nikaiva vizuri...
0 Reactions
24 Replies
8K Views
Hello, Mimi ni kijana mwenye umri 26. Muhitimu wa shahada ya ualimu Chuo Kikuu cha Dar es Salaam mwaka 2016. Nategemea kujiunga mwaka huu shahada ya pili ya development studies sasa wakuu naomba...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Wanajamvi habarini za mihangaiko? Najuwa wengi wenu mko vizuri mkiendelea kumuomba mungu na kuchukua tahadhari zote za gonwa hili la Covid 19, tuayaache hayo kwa muda ambapo janga hili...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Wasomi nchini mnatuangusha na tafiti zenu za kuunga-unga. Mtu unasoma journal article full inconsistencies na methodologies zinazotumika huko full wenge (very weak) ukilinganisha na tafiti za...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Poleni na majukumu wadau naomba kufahamu namna ya kupata vitabu vya History, Geography, Mathematics, Chemistry na Biology kidato cha pili softcopy. [emoji1545][emoji1545][emoji1545] Sent using...
1 Reactions
2 Replies
4K Views
The age of Janet was three-quaters that of Monica four years ago. If the sum of their present ages is 50. How old is Monica now? (naombeni msaada) Ikiwezekana onesha hatua zote. au fanyia kwenye...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Back
Top Bottom