Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Habari za mda huu ndugu wanaharakati wa kimaendeleo kama uzi unavyojipambanua naomba mwongozo Katika hili.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
habarini wapendwa wana JF.yapata mwezi au miezi miwili sasa tangu TCU watoe tamko lao rasmi kupitia kitabu chao cha mongozo wa kudahili na kuomba vyuo yaani TCU guidebook kuhusu kuvisimamisha vyuo...
1 Reactions
22 Replies
13K Views
Habari, Nataka nijiunge na BASIC DRIVING COURSE veta mbeya, kwa anayefahamu gharama zao, au namba ya mwalimu wa udereva wa pale, na pia sample joining form anisaidie please. Nawasilisha.
0 Reactions
4 Replies
9K Views
Habari zenu wandugu, Eti ni chuo gani hapa Tanzania waweza soma Computer Science na kuwa competent? Na je mchomoko wake wa ajira hapa bongo upoje? Kuna dogo namhaingikia Regards.
3 Reactions
36 Replies
8K Views
UPADATES 2020 as I am writing know I have been honoured by google developers program from google, to run google developer group(gdg) in a new chapter;called google developer group (GDG)...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari, Nahitaji kujua utaratibu wa mkopo upoje ikiwa utaamua kuPostpone masomo Chuo. Let's say, unamkopo wa HESLB ambao tayari wamekupa kwa Semesters mbili na unahitaji kuPostpone masomo kwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Msaada kwa anayefahamu App ya kupata mitihani ya NACTE kwa course ya Clinical Medicine kwa iliyofanywa kipindi cha nyuma
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Nahitaji canseling kwa yeyote anayeweza. Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Jamani napenda kuuliza hv mtualiye soma hiyo kozi ya ICT kwa hapa tanzania anafanya kazi sehemu gani na mtu aliye soma mchepuo wa EGM anaweza akaisomea afikapo chuo..sorry vp kibongobongo ajira...
0 Reactions
49 Replies
16K Views
nilikuwa na ndoto za kuwa injinia ila kaka zangu nadhani walinionea wivu wakanidanganya kuwa haina dili bora masomo ya biashara. nikasoma hayo leo wananicheka life imenipiga mpaka nachanganyikiwa.
13 Reactions
54 Replies
5K Views
Hapa Tanzania hakuna mtihani, Mgumu kama wa kidato cha nnehata watu waliokuwa na vyeti feki vilikuwa vya kidato cha 1V hii inaonesha kuwa paper la Four ni balaa na nusu. Pia Ukiangalia matokeo ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba kuuliza kuhusu mzumbe as thread inavojielezea hapo
1 Reactions
29 Replies
6K Views
Problem Set 1 Use of the Balance Sheet Equation to record transactions and for the preparation of financial statements On July 1, 2000, TIM, Inc. started as a business entity. A summary of...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Msaada wapi nitapata chuo cha kujifunza mambo ya usalama (safety)
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Ivii mtu akisomea PGM anakuja kuwa nan tofaut na ualim na urubani?? Ahsante!! Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Kwa wale tuliobahatika kusoma hebu weka Definition moja unayoikumbuka iwe ya Form 1, 2, 3 or 4. Mim naanza na Microscope - is an instrument used to magnifying small objects.
8 Reactions
149 Replies
10K Views
Ndugu zangu habari za mida. Ni matumaini yangu kwamba wote ni wazima hasa ukizingatia janga hili lililoikuta dunia. Niende moja kwa moja kwenye mada mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa pili chuo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari, Poleni wakuu na hili janga. Hivi hizi shule zetu na vyuo watafungua kweli baada hizi siku 30 kuisha. Na wasipofungua itakuaje mbona system za shule zinabadilika sana. Sent using Jamii...
3 Reactions
21 Replies
4K Views
Salaam kwenu wanajukwaa ,amani ya mungu wangu iwe nanyi Leo napenda kuiliza juu ya uwepo wa kozi fupi za IT hapa nchini mwetu Je zipo!? Gharama yake ? Na ubora wake ni upii? Je naweza kusoma...
0 Reactions
1 Replies
941 Views
Wakuu habarini za muda, naomba msaada kwa mtu ambae anamjua mwalimu au mtaalamu ambae anafundisha physics kwa program ya kutumia CD ikawa na uwezo wa kuangalia kwenye tv basi naomba anijulishe...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom