Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
KWA MWENYE UZOEFU KUHUSU TOEFEL INTERNET BASED TEST WAKUU, NAOMBA ATOE MAELEZO HAPA MARA MOJA NINA SHIDA, NAHITAJIKA EDIBURGH UNIVERSITY NA HIYO NDIYO SIFA YANGU YA MWISHO NIMEPITA KOTE. NIMEPEWA...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari zenu wanajamvi wa jukwaa hili la elimu. Ningependa niende moja kwa moja kwenye kiini cha swali langu kama kichwa cha hoja kinavyouliza. Naombeni msaada wenu juu ya faida au/na hasara za...
4 Reactions
32 Replies
9K Views
Hivi ukiwa na cheti cha chuo chochote level ngazi ya cheti ukitaka kwenda diploma unaweza somea course yoyote ukiachana na ulosoma?
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Wadau nko bush sana,ukiangalia ni hil janga la corone ndo shda kabisa,mwenye kujua anpe taarifa
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Itabidi shule za secondary na vyuo kutokuwa na likizo yani tukianza kusoma ni kusoma tu ili kubalance muda unaopotea. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
4 Replies
903 Views
Habari zenu wanajamvi, Nikiwa nipo mapumzikoni huku kanda ya ziwa nikijificha na hii hatari ya corona huko mjini, sasa kuna kadogo hapa kapo form 2, kakaniuliza "Brother wewe si ulisoma Sayansi...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Habarini Wana jf Naomba msaada jinsi ya kuapply chuo naapply vipi? Na pia nitapataje udhamini wa elimu kwenye vyuo vya hapahapa Tanzania? Naomba kwa anaeelewa anieleweshe nahitaji na pia...
1 Reactions
2 Replies
4K Views
Naomba kueleweshwa ni kozi gani za master's nzuri kwa aliyesomea degree ua education with Chemistry and Biology, iwe ni ndani au nje ya Tanzania. Ahsante
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Kwa wale mlio katika utumishi wa umma. Je, inawezekana kukopa katika taasisi hizo kwa wakati mmoja kama take home inaruhusu?
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari wadau, Najaribu kuingia kwenye mfumo wa Selform ili kubadili combination lakini nakwamba 1. Naingia kwenye REGISTER na kujaza vitu vyote ninavyoulizwa kwa usahihi 2. Nakwama pale mfumo...
1 Reactions
1 Replies
4K Views
Kwa kawaida Mwezi March huwa linafunguliwa dirisha la vijana kuomba vyuo. Kuomba huku ndiko huwa kunapelekea vijana kuanza masomo mwezi wa kumi (10). Hii ndiyo huwa MAJOR intake. March imeisha na...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Wakuu habari za huku... Naomba kwa wenye uzoefu/ waliopitia au waliopo Chuo cha Kleruu kwa sasa/ Monduli teachers nahitaji msaada kuhusu diploma in science with education vipi inatolewa hapo kwa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Utangulizi Bioteknolojia ni aina ya teknolojia inayotumia elimu ya biolojia kwa manufaa ya binadamu. Ni teknolojia ya uvumbuzi wa mambo mbalimbali kwa manufaa ya binadamu, kwenye upande wa afya...
5 Reactions
46 Replies
10K Views
Wakuu hekima kwenu, Naomba mnisaidie kujua tofauti ya hesabu na hisabati maana yanatumikaga kumaanisha kitu kimoja lakini naamini kila moja lina maana yake.
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Poleni na majukumu wadau. Nimehitimu chuo kikuu 2013 BSc. Ed. na kwa sasa naplan kurudi kusoma Medicine. Nikiomba mkopo kuna uwezekano wa kupata? Wenye uelewa katika hili naombeni taarifa tafadhali.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Matokeo ya mitihani ya NACTE yanaonyesha kama ilivyo kwenye jedwali lao la matokeo. Maana ya REPEAT ni nini? wakati katika baadhi ya wanafunzi hana somo alilofeli hata moja. Mfano: candidate namba...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wadau mwenye kujua jibu la kitendawili MASHUKE YANGU YANAELEA NCHI KAVU tafadhali anisaidie natanguliza shulran
1 Reactions
2 Replies
7K Views
Naomba kufahamu usawa uliopo Kati ya postgraduate na degree yaani Kama kunakazi unahitaji kigezo Cha degree alafu Mimi nina postgraduate je naweza kuomba?
1 Reactions
32 Replies
6K Views
Alpha alikula 1/4 ya mchele wake, kisha aliuza 1/3 ya mchele uliobaki.ikiwa alibakiwa na kg 60.Tafuta kg alizokuwa nazo. Cc Mwifwa
1 Reactions
76 Replies
6K Views
Nashauri, serikali ione haja kufanya tathmini ya maambukizi ya ugonjwa wa Corona na itoe mwongozo mapema ili wazazi/walezi wajiandae mapema ki fedha na kisaikolojia kuhusu watoto wait kurudi shule...
4 Reactions
47 Replies
10K Views
Back
Top Bottom