Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Waungwana msaada tafadhali kwa wale wanaosoma au waliosomea UDSM. Kuna degree program inaitwa Project Planning and Management naipenda sana lakini napenda sana Chuo Kikuu Dar es salaam nauliza...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Hello JF, Mnaonaje masomo ya degree(vyuoni) yaanze kufundishwa basics A level? I believe mtu akisoma Advance then aksoma Diploma ama Degree ya somo hilo hilo, atakua na confidence hata...
10 Reactions
69 Replies
4K Views
Hivi kwa ufahuru wa hist C, kisw C, geo D ,civ D, engl C,bio D,math D division 3 ya 25 je huyu mtu anaweza kwenda kidato cha tano kwa combination ya HGE kwa shule za serikali kwa mwaka wa 2020...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
Baada ya ugonjwa wa Covid 19 kulipuka duniani kote sector ya Elimu iliathirika pia. Shule zilifungwa. Serikali ya Tanzania imefungua Vyuo na kidato cha sita. Kama Wazazi tuna Watoto wanasome...
4 Reactions
50 Replies
8K Views
Mwaka huu namalizia diploma yangu ya civil engineering Mungu akioenda. Malengo yangu niunganishe degree ya kozii hii, ila kwa online university huku nafanya kazi za civil engineering technician...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
I am very glad to inform you that, this thread is just for all who need to help and be helped about English language related matters. Students with questions from primary to A-level are warmly...
1 Reactions
69 Replies
6K Views
Naomba wenyewe uzoefu wa hii Kada wanipe mwongozo. Nina mpango wa kuisoma, nataka kujua changamoto zake na wigo wake wa Ajira. Asanteni.
0 Reactions
0 Replies
930 Views
Nawasalimia wakuu! Dunia ina mambo mengi mno ya kujifunza kiasi kwamba hakuna mtu anaweza kuyajua yote, hivyo basi, tangu binadamu anazaliwa, maisha yake yote amekuwa ni mtu wa kujifunza tu, hadi...
8 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu Salaam, Katika kupata kwangu elimu ya dunia level mbalimbali za kusoma sijawai kuongoza katika somo la hisabu ata nikijitaidi vipi sijawai kuongoza kuwa kinara wa marks katika somo hili...
12 Reactions
254 Replies
18K Views
Habari ya muda huu wadau, nahitaji kutumia Nota Bene (NB) Kwenye barua, kuna neno lake ambalo ni la Kiswahili pekee?. Natanguliza shukurani zangu. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
14K Views
heshima kwenu wana Jamvi. swali langu linajitosheleza.........!!! naomba majibu nina Nephew wangu anashahada ya Uhandisi wa Civil udsm class of 2012 anataka kuwa mwalimu.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
hebu tupia mambo unayoyakumbuka kipindi upo sengerema sec
0 Reactions
22 Replies
8K Views
Niliwahi kufanya kazi kwa Mkufunzi mmoja wa UDSM, yeye hakuwa mwajiri wangu ifahamike. Yule Dr.jina mfukoni siku moja alianzisha mada sasa nikaamua kumsifia then nikampa challenge kidogo...
5 Reactions
18 Replies
4K Views
Wakuu naomba kuuliza chuo cha VETA Chang'ombe kilicho Dar es Salaam kuwa usajili unaanza lini kwenye long course ya umeme na wanachukua vigezo gani vya ufaulu kwenye course hiyo
2 Reactions
1 Replies
4K Views
Wakuu kwema? Kwa wenye watoto wadogo miaka 2 mpaka 5 ni application gani nzuri unatumia kwa ajili ya mwanao? Kwa maana kwa zama hizi za tech mtoto huwezi kumzuia moja kwa moja kutumia simu kwa...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Napenda kuchukua nafasi hii kutoa elimu kuhusiana na hii course ya computer engineering maana ninaona wengi humu JamiiForums na hata wanafunzi wanaosoma hawaielewi na wanaichanganya na IT...
3 Reactions
16 Replies
6K Views
Hii battle ilikuepo sana miaka ya nyuma speech ya wazili wa afya juzi kaja kuliibua tena baada ya kusema taifa lina upungufu wa wataalam wa *biotechnology and laboratory science* (hawa wanatoka...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Salamii Wana jukwaa kama kichwa kinavo jieleza apoo juu msaada tafadhali Kuna mdogo wangu kahitimu masomo yake ya kidato Cha sita mwaka Jana 2019/2020 kwa mchepuo wa CBG nakupata matokeo haya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wapendwa samahani habari za asubuhi, habari za muda huu? Moja kwa moja naomba niende kwenye mada. Mdogo wangu alifanya mtihani wa Kidato cha Nne mwaka 2016 lakini kwa bahati mbaya alipata credit...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mwenye hiki kitabu tafadhali tunaomba pdf humu. Kinaitwa Everything You have told me is true. Kuhusu mahusiano kati ya hili chapisho na kichwa cha habari tunaomba wenye kujua lugha kidogo asome...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom