Shule ya msingi Kitanda ni shule ambayo ipo katika kata ya Kitanda halmshauri ya Mbinga mji ,ni shule ambayo ipo kilometer 15 kutoka makao makuu ya halmshauri ya Mbinga mji na makao makuu ya...
Jamani tunaomba msaada sisi wana UDOM.
Sikatai madarasa mazuri kabisa na pia masomo yanaenda vizuri na walimu wanafanya kazi vizuri sana lakini shida ni vyoo jamani.
Vyoo vimejaa balaa na hivyo...
Wenye mamlaka leo naomba kufikisha kero yangu kuhusu ubovu wa Mifumo ya Malipo ya Ada na Utoaji Matokeo ya Mitihani ambayo imekuwa na usumbufu kwa Wanafunzi kutokana na Matokeo kutowekwa kwenye...
Kuna Mwalimu (jina linahifadhiwa) anayefundisha Shule ya Nanhyanga Sekondari iliyopo Tandahimba Mkoani Mtwara, anaweza kudhuriwa na jamii inayomzunguka kwa kuwa wanamtuhumu kwa mambo mbalimbali...
Mradi wa hostel za wasichana katika shule ya sekondari Langiro umetelekezwa, mradi huu ulivyoanzishwa ni zaidi ya miaka 4 sasa haujakamilika hivyo kusababisha athari kubwa sana kwa watoto wa kike...
Mkurugenzi mtendaji wa Mbinga mji hali ya vyoo vya shule ya sekondari Ngwilizi ni mbaya sana.
Imefika wakati wanafunzi walio wengi wanaenda kujisaidia vichakani.
Hebu wasaidieni Hawa wanafunzi...
Kuna wanafunzi wa Chuo Cha SUA wanadai refund ya Hela zao za ada ila tangu semester iliyopita Mpaka Leo hawajapata Hela zao. Tunaomba mzungumzie hili swala wanafunzi wapate Hela zao.
Hii refund...
Wanafunzi wa UDOM college ya informatics wamekua na changamoto kadha wa kadha.
1. Ubovu wa miundombinu hasa choo kwa baadhi ya blocks(1 and 3) hali inayopelekea kushindwa kujisaidia na kupata...
Miaka ya nyuma tokea nchi ipate uhuru huu mwaka bajeti ya kutoa mikopo Kwa WANAFUNZI WA degree ilikuwa kubwa sana, ilikuwa TZS bilioni 700+.
Serikali ikakatangaza WANAFUNZI wanaonza degree (fresh...
Sisi Wanafunzi wa Chuo cha Mbeya Training College kilichopo Uyole Mkoani Mbeya ambacho kinatoa Kozi 4 ambazo ni Laboratory Assistant, Secretary, Business Operator na Hotel Management.
Mwaka jana...
Habari Wana Jamii Forums naomba kuwasilisha hoja yangu ili kupaza sauti, mamlaka zisikie na ikiwezekana hatua zichukuliwe haraka.
Sisi Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi...
Habari!
Napenda kuleta kero yangu ili mnisaidie kufikisha kwa wahusika wa Chuo cha DIT. Kuna kero kubwa hususani kwa wanafunzi waliopata mkopo kupitia Bodi ya mkoppo ya elimu ya juu (HESLB) pale...
SHERIA MPYA ILIVYOWAKOSESHA WANAFUNZI WA UDOM HAKI YAO.
Chuo kikuu dodoma,UDOM.
25/11/2022 uongozi wa chuo kikuu cha dodoma( UDOM) katika ndaki ya TIBA ulitoa sheria mpya kwamba mwanafunzi...
Sisi ni Wanafunzi tuliohitimu katika Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) Campus ya Dar es Salaam tuna madai ya kutorejeshewa malipo tuliyolipa kabla ya kuingiziwa fedha za Bodi ya Mikopo (HESLB)...
Mimi ni Mwanafunzi wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere kilichopo Dar es Salaam, ipo hivi, Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) ilitoa nyongeza ya mkopo kwenye ada za Wanafunzi...
Bima ya Afya kwa wanafunzi wa Vyuo ni tatizo kubwa.
Mtu unalipia bima Lakini kadi hupati zaidi ya miezi saba. Wanafunzi wamelipa tangu mwezi wa tatu kadi za bima hazijatolewa na ukiuliza...
Leo tarehe 25.08.2023 TCU wametoa majina ya wanafunzi wa kidato cha sita waliochaguliwa kujiunga na vyuo mbalimbali.
Kama inavyojulikana, kuna ambao hupata "multiple selections", yani mwanafunzi...
Kwako Serikali yangu pendwa.
Niliamua kukaa kimya ila baada ya kuona mambo yameanza kuniendea vibaya kabla sijaanza chuo imenibidi niikumbushe serikali yangu pendwa.
Kitendo cha Serikali Kuondoa...
Wanafunzi wamekuwa wakimlalamikia juu ya ufundishaji wake wa somo la TEHAMA kuwa ni msumbufu. Nikiongea na mwanafunzi ambae alikataa kutaja jina lake na level (Mwaka wa masomo) alisema Mwakalonge...
Kumekuwa na malalamiko ya muda mrefu kuhusiana ukiwamo utahini kwenye chuo hiki cha umma.
Takwimu hizi za matokeo ya hivi karibuni zinajionyesha:
Hii ndiyo ilivyo hali ya pale LST kwa miaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.