Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Jamani Mimi ni form six leaver nliepata BCC Kwa PCM Nikaomba vyuo katika order hii Civil eng-udsm Electrical eng-udsm Pharmacy-mumbl Ofcoz sikuchaguliwa ila nnachoshangaa ni machali zangu wenye...
3 Reactions
106 Replies
10K Views
Wakuu kwema. Kama heading inavyosomeka, ni app gani naweza kutumia kutype documents hasa barua, na kufanya editing ya CV. Sina access na pc kwa muda hivyo sitaki mambo yaende kombo kisa sina pc...
5 Reactions
9 Replies
684 Views
Mi mara nyingi nawaombea wazungu waendelee kufaniakiwa kila wakati mana niwatoaji sana na wana utu. Ndo mana utawakuta watu au wanafinzi wako busy kuapply scholarships huko ulaya au marekani ila...
2 Reactions
19 Replies
697 Views
Ipi ni course bora kati ya information system na information technology ili niweze kuconfirm course ndio nataka kuanza chuo mwaka wa kwanza
1 Reactions
7 Replies
353 Views
Wafamasia kesho ndo siku yenu kipi mnafurahia na kipi kinawaboa
0 Reactions
2 Replies
198 Views
Kwema? Niende kwenye mada. Mimi kazi yangu nalipwa mshahara laki tatu 300k nipo DSM lengo la kuandika juu Uzi nataka nikasomee hiyo kozi hapo juu kuendesha mitambo ya bandari. Nimepata chuo kipo...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Wanajamvi: Binafsi ni msomaji wa vitabu mbalimbali vya maudhui ya jumla (general knowledge), lakini bado naamini kuna vitabu vizuri na watunzi wazuri ambao sijapata kusoma vitabu vyao. Kwa...
11 Reactions
620 Replies
95K Views
Habari wakuu, Msaada juu ya Associate of Science Degree in Business Administration.
1 Reactions
7 Replies
251 Views
Wakuu habari zenu, Naomba kujua shule za advance za private zenye performance nzuri kwa mchepuo wa PCM hapa Dar ama Mwanza au popote hapa bongo lakni ada yake iwe chini ya 2 Million. Asanteni...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Wakuu habari. Wote tunafahamu changamoto ya kumtafutia mtoto shule nzuri ya Secondary. Kijana wangu anamaliza darasa la saba wiki hii. Naombeni recommendations za shule nzuri maeneo ya Same na...
0 Reactions
3 Replies
747 Views
Ndugu wana JF, hii changamoto nimeiona kwa watu kadhaa ambao application zao zina makosa ila hazijapewa uwezo wa ku edit na wamekiri kabisa hakuna option ya marekebisho na siku zinakimbia kufikia...
2 Reactions
15 Replies
762 Views
We're a registered Non-Governmental Organization dedicated to fostering professional collaboration, career advancement and job creation among Tanzanian professionals. ResearchLink International...
0 Reactions
1 Replies
181 Views
Habari. Nahitaji shule ya sekondari ya O level ya wasichana au mchanganyiko inayomilikiwa na masisita yenye malezi na mazingira mazuri tofauti na st.Monica na Precious blood. Kama mwanao anasoma...
0 Reactions
17 Replies
883 Views
Anonymous
Sisi Wahitimu wa ngazi ya Diploma katika Chuo kikuu cha dodoma tuna changamoto ya kutopatiwa Award Verification Number (AVN) mpaka sasa hali ambayo inatufanya tushindwe kufanya maombi kuomba...
3 Reactions
2 Replies
332 Views
Wadau mimi ni mwanachuo nasom bachelor of science in chemistry mwaka wa pili lakini sioni future katika hii kozi kutokana na uhaba wa ajira na msoto wa waliomaliza naombeni ushauri
4 Reactions
53 Replies
2K Views
  • Poll Poll
Utangulizi: Habari wana JF! Leo ningependa kushiriki nanyi mawazo juu ya jinsi Tanzania inaweza kuzalisha programmers wenye ujuzi wa hali ya juu kwa kuanzisha elimu ya programming kuanzia shule za...
0 Reactions
2 Replies
479 Views
Kama head inavyojieleza, hivi kuna uwezekano mdaiwa akaangalia deni analodaiwa HESLB pasipo kwenda ofisini kwao? Na kama hakuna huo uwezekano kwanini wasiweke mifumo online watu tukawa...
1 Reactions
3 Replies
603 Views
HABARI wadau KATIKA jukwaa hili adhimu, Mimi ni mwajiriwa KATIKA kada ya elimu kwa masomo ya English and literature in English na ufaulu wangu kwa chuo haukuwa mzuri sana nilipata GPA ya 2.8 lower...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Mimi ni mwanachuo ninasoma bachelor of science in chemistry mwaka wa pili ila sioni future katika hii kozi kutokana na ugumu wa ajira kwa hii kozi naomba ushauri wenu
2 Reactions
15 Replies
730 Views
Back
Top Bottom