Habari wana JF, Mimi ni mwanachuo wa diploma mwaka wa pili nilikuwa naulizia kwa wazoefu kuwa naweza kupata scholarship ya kusoma nje ya nchi kusomea bachelor degree na kama ni ndio, vigezo vyake...
Wadau,, nimeambia kunavyo vya ufundi Donbosco Dodoma na chuo cha Abc Arusha.Nwuliza je kunawatu wamesoma hivi vyuo? Na je elimu yao ikoje ukilinganisha na kusoma VETA.
Asante
Habari WanaJF.
Nahitaji kwenda kusoma master kati ya econimics au statistics, nimeangalia prospector za vyuo mbalimbali nikakutana vyuo kama UDSM wanatoa MASTERS OF APPLIED ECONOMICS NA MASTER OF...
👉One of the biggest concerns people have during interviews is the fear of being unfairly judged by the interviewer based on attitude and perception. Today, I will share how your marks are...
Habarini za WAkati huu wakuu wangu Kuna Shule inaitwa GRAIYAKI SECONDARY SCHOOL IPO MUGUMU _SERENGETI MKOA wa MARA ni moja kati ya Shule nzuri sana kwa Olevel na primary ingia NECTA angalia...
Tulianza wanafunzi 20 katika fani ya electrical power engineering,mpaka hvi ninavoandika hii thread tunao endelea na masomo yan 3rd year tumebaki 6,kati ya hao 6,kuna wasichana wawili ambao nao...
Naombeni ushauri chuo gani kizuri kwa kozi ya ICT kati ya vyuo hivyo hapo kwa level ya degree!. Chuo kizuri kwa kozi ya ict kati ya must, arusha tech na ardhi
Habari,
Dogo kamaliza form six PCB ufaulu wake ni Phy-E, Chem-D na Bios-C, je, anaweza kusoma afya kwa vyuo vya serikali au binafsi?
Binafsi anapenda Udaktari au Ufamasia, ushauri afanyaje...
Kutoka UDSM wahitimu wa mahafari 51 duru ya Pili wamefanyika Milimani City kama ilivyo ada.
DVP-Academic amewatangaza Wanawake 3 ambao eamepata ufaulu mkubwa zaidi huku kinara wao akipiga GPA ya...
Hello,
Jina Langu Mr Documentor, Founder and Owner of Mr Documentor Academic Hub.
Nitumie Furse hii ya uhai kuwakaribisha wanafunzi wote Tanzania hii na Nje ya Tanzania Ambao wanatarajia kufanya...
Madam Opiyo bingwa wa Chemistry aliyefanya kazi Thaqaafa secondary school zaidi ya miaka 28 ameacha kazi. Wakurugenzi wa shule za Mwanza na mikoa Jirani huu ni muda sahihi wa kunasa sahihi ya...
Yule mwalimu bingwa wa chemistry madam Opiyo aliyefanya kazi miaka 28 Thaqaafa secondary na kuwapa maendeleo makubwa hatimaye ameacha kazi Thaqaafa secondary.
Wakurugenzi wa shule za Mwanza...
Kuna mtoto wangu anaomba akasome mambo ya banking au kodi. kati ya TRA academy na BOT academy, wapi bora unafikiri aende? which one is better than the other. asante.
Takriban wahitimu 20 wa chuo kikuu Cha Dodoma (UDOM) kitivo Cha Elimu tuliohitimu mwaka wa masomo 2019-2020 hatujapatiwa vyeti vya kuhitimu
Tumefatilia wanasema changamoto ni matokeo ya mwaka wa...
Wakuu habari
Naomba kuuliza, Kuna hii kozi inaitwa Geographical information systems ( GIS) and remote sensing ..
Naomba kupewa details zaidi kuhusu hii kozi,
Kama nitakuwa interested...
Kama umesoma PCB hivi ukichukua bachelor of commerce in accounting ambayo ipo udsm pia o level alipata C ya math na Advance alipata B ya Bam hii course ni nzuri kwake
Shule zote za mjini na vijijini, serikali na binafsi, zenye walimu na zisizo walimu, zenye vifaa vya kufundishia na zisizokuwa na vifaa vya kufundishia zoote zinatungiwa mtihani mmoja wa taifa...
Jamani Kuna mdogo wangu kapata degree ya Medical Doctor Kairuki na pia diploma in radiology Muhumbili. Anauliza yeye kama yeye achague wapi coz anahisi sasa MD haina deal tena kwa siku hizi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.