Habari za muda huu tena wakuu.
Naomba msaada na ufafanuzi juu ya Kozi hii inahusika na mambo Gani?
BACHELOR OF SCIENCE IN BIOTECHNOLOGY AND BIOINFORMATICS
Natanguliza Shukrani
Hivi hii course ya Molecular biology and biotechnology inalipa hapa Tanzania au ni Kuhangaika mwanzo mwisho afu ningependa kujua unaweza ajiriwa mahali gani? Na ingekua vizuri mngeniambia mshahara...
Habari,
kama kichwa cha habari. Msaada wa shule nzuri kwa mtoto wa kike boarding O level. Nataman sana za kikatoliki kwa anaejua. Pia na connection naomba tafadhali. Asante.
Habari wakuu Ninaomba ushauri Kwa mdogo wangu asome kozi ipi Kwa ngazi ya degree kati ya famasi na radiology,na ipi Ina nafasi nzuri Katika kujiajiri mwenyewe hata ukikosa nafasi ya ajira...
Wadau nimesom diploma ya pharmacy now niko chemistry degree najiuliza nikiajiriwa kwa diploma hii degree kada nitabadilishaje? Mshahara utapandaje ushauri please.
Za jioni wadau
Naomba msaada wenu mimi nina diploma ya pharmacy nimemaliza mwaka jana nikataka kuendelea mwaka huu lakini nilikosa awamu zota tatu.
Likaja dirisha la huruma la awamu ya nne...
Nikiwa mwanafunzi wa shahada ya juu katika chuo flani cha kilimo hapa nchini, nilipata nafasi ya pekee ya kuhudhuria kozi fupi (short course) usawa wa siku 14 ivi nchini Israeli. Katika safari...
Shule ya Msingi Mpigamiti iliyoko Liwale mkoani Lindi iongeze ufaulu ni mbovu shida nini? Ona matokeo
https://onlinesys.necta.go.tz/results/2023/psle/results/shl_ps0804024.htm
Habari zenu wakuu,
Naitwa Jason kwa sasa nasoma Chuo Cha uhasibu Arusha (IAA), kozi ni Bachelor Degree in Computer Science naingia sasa mwaka wa pili lakini nina dukuduku nyumbani wanasema hii...
Mfumo wa NACTVET kushindwa kutoa AWARD VERIFICATION NUMBER.
USERNAME na PASSWORD walionitumia baada ya ku create account hazikubali ku log in na hata nikifanya FORGOT PASSWORD bado mfumo unanipa...
Nimelaliza kidato cha sita 2024 nimesoma special diploma na nimesomea kombi ya PCE Yan physics, chemistry na Education na nimepata div 1 ya 6.
Physics B, chemistry A na education C.
Je kwa...
Wadau natafuta chuo Marekani ambacho hawahitaji test ya IELTS au TEOFL.
Dogo kasoma bongo huo mtihani unasumbua ila ada ipo na application fee ipo.
Wasalaam!
Wakuu, nipo huku Mtwara ndani ndani,natamani kujiendeleza kielimu ngazi ya degree kwa kozi za Afya.
Naomba mnielekeze chuo kizuri cha nje ya nchi ambacho kinatoa elimu kwa njia ya masafa na...
Habari wakuu!
Kwa wanotaka kuanza kusoma na waliosoma CPA karibuni mtushauri lolote, kwanza kabisa nahitaji kufahamu,
1) Intake ni mara ngapi kwa mwaka, yaani unaweza anza mwezi gani? Now...
Wadau nna kijana wangu amemaliza kidato cha nne mwaka huu kapata division one anataka kusoma combination ya EGM nimekuja kwenye jukwaa hili kuomba kujuzwa shule ipi ya serkali ya wasichana ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.