Wadau hamjamboni nyote?
Taarifa hapo chini:
Mgeni rasmi sheikh Mussa Kundecha na wageni wengi wamehudhuria wakiongozwa na mkurugenzi wa taasisi ya Hudaibiyah Master Juma Almasi.
Aidha...
TATIZO LA WANAFUNZI WA DIPLOMA WALIOENDA KULIPOTI MWAKA WA KWANZA LAKINI WAKAPATA CHANGAMOTO YA KUPATA MSIMBO ILI KUSAJILIWA CHUONI MNATUSAIDIAJE WAKUBWA ZETU
You must be a graduate and are serious in making impactful application to these prestigious scholarships from UK and Denmark. ResearchLink International ResearchLink International offers technical...
Kuna kijana nimemfanyia application ya mkopo heslb,sasa toka jana naona account yake imebadilika na kuwa SIPA, sasa nikiingia kwenye allocations za mkopo inanipa ujumbe huo hapo chini.
Je, hii...
UDOM WAMETOA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA MASOMO 2024/2025
ANNOUNCEMENT FOR STUDENTS ADMITTED INTO DIFFERENT STUDY PROGRAMMES AT THE UNIVERSITY OF DODOMA WITH SINGLE ADMISSION...
Nimezunguuka dunia hii hususani Ulaya, Marekani, Australia, na Asia, kote huko nimekuta Uuguzi (Nursing) ikiwa na fursa nyingi sana kuliko kada nyingine za Afya. Kule Marekani Uuguzi uko juu kwa...
Wakuu!
Jamaa angu ka login kwenye account yake aliyotumia kufanya application za Muhas akakuta taarifa "ndugu '__' hujachaguliwa kujiunga na chuo Cha Muhimbili round 1" Hilo Jambo limeniogopesha...
Habari zenu,
Nahitaji kusoma hii fani ya uhasibu, nina cheti cha kidato cha nne cha sita na degree nyingine haihusiani kabisa n maswala ya kifedha.
Nimejaribu kutafuta taarifa kidogo nimekutana...
Ninatumia fursa hii kwa heshima na unyenyekevu kutoa uthibitisho wa kozi kadhaa ambazo zinatoa fursa za ajira zenye mishahara mikubwa. Kozi hizi zina uwezo wa kubadilisha maisha moja kwa moja kwa...
Hakuna changamoto kubwa katika maisha ya vijana wetu wanaomaliza kidato cha sita katika elimu kama uchaguzi wa taaluma gani wanatamani kwenda kusomea vyuo vikuu na vyuo vya kati.
Ingawa wengi...
Technical Education in Engineering ni course inakuwa offered hapa chuo cha must Mbeya lakini mtaani haitambuliki marketing yake ni ndogo mno ni ngumu kupata ipo kwa wanafunzi wanaosoma Technical...
“ Elimu ni kile kinachobaki baada ya mtu kusahau kila alichojifunza shuleni.”
Hii ni nukuu maarufu ya Albert Einstein, ikimaanisha kwamba elimu ya kweli siyo tu kukariri au kujifunza mambo...
Wakuu salamu.
Ningependa kwa anaejua hivi Open University of Tanzania website yao imepatwa na ugonjwa gani?
Kuna mdau alifanya application ya kuomba nafasi undergraduate kwa kutumia Online...
OLAMS ya Bodi ya Mkopo haikubali kukamilisha kutuma maombi kwa njia ya mtandao.
Mwanafunzi amejaza kilakitu na ameambatanisha kila kitu lakini mfumo huo uko doro kabisa. Kiasi wametafutwa...
Nimeona kwa sasa kijana anaweza kutoka shule ya msingi akapangiwa moja kwa moja kwenda sekondari form one au la wakampangia kwenda chuo (college) cha ufundi.
Au akatoka form four akapangiwa...
Habari wana Jamiiforum,
Mimi ni mwanafunzi wa diploma in diagnostic radiography mwaka wa tatu.
Naomba msaada kwa taasisi au mtu binafsi mwenye uwezo wa kunilipia ada ili niweze kumalizia mwaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.