Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Wenzangu naomba munisaidie Kuna huu ujumbe wa HESLB ukiangalia ALLOCATION za akaunti zetu za SIPA! Unamaana Gani pia utachukua MUDA Gani Hadi kukaaa sawa au kurudishwa katika Hali ya kawaida?
0 Reactions
4 Replies
459 Views
Ndugu zangu mimi sielewi katika hili naomba ushauri na ufafanuzi kuhusu badiliko hili kwenye account yangu ya HESLB Kwenye institution hawajaweka chochote. Naogopa sana na kujiuliza maswali mengi...
5 Reactions
14 Replies
896 Views
Samahani wakuu, Sisi ni wanafunzi tuliomaliza chuo cha kati mwaka wa tatu, Ningependa kuuliza kuhusu suala la Submitted na Confirmed maana tuliambiwa kuwa ukiandikiwa Confirmed ni kuwa huna...
0 Reactions
8 Replies
924 Views
Tunaomba bodi ya mikopo ituangalie kwa jicho la tatu ambao hatukufanikiwa kukamilisha kuwasilisha nyaraka zote za muhimu kwenye maombi ya mikopo Hata kama muda wa maombi umeisha au watakao kosa...
1 Reactions
7 Replies
441 Views
Naombe msaada kujuzwa kozi nzuri kati ya Bussness Administration na Accountancy ipi yenye ajira zaidi?
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Kisa cha kweli: Niliacha kazi nikajiunga masters ili nimsomeshe mdogo wangu chuo Hiki ni kisa cha kweli ilinitokea mara tu baada ya kupata kazi katika Shirika fulani hapa nchini. Tangu zamani...
10 Reactions
44 Replies
3K Views
Habari wana JF, Naomba kufahamishwa kuhusu kozi ya Bsc in Range Management inayotolewa pale SUA inahusu nini?
1 Reactions
58 Replies
10K Views
Nili confirm kujiunga TIA siku moja kabla ya muda kuisha na mfumo ulinikubalia vizuri tu, na pia ilikuwa baada ya TIA kutoa orodha ya first round kabla dirisha kufungwa, nisingekuwamo sababu...
2 Reactions
2 Replies
247 Views
Kumekuwa na kelele kila kona namna ambavyo vyuo na Taasisi za elimu ya juu nchini vinavyosumbua wale wanaojiunga ili kujiendeleza kielimu kwa ngazi ya shahada ya uzamili (Master degree) na uzamivu...
3 Reactions
2 Replies
181 Views
Hivi unapokwa umepata mkopo asilimia 100 hii inakuwa ina maana gani? Pia soma: Ukipangwa mafunzo JKT na hujaripoti mafunzoni, je nikiomba mkopo HESLB nitapata?
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Naomba msaada nimechaguliwa udom kusoma broadcasting engineering na electrical saut je niende wapi kwa better future
0 Reactions
2 Replies
307 Views
Habari wakuu!! Naomba msaada wa masomo kwa atakae guswa au anae fahamu shirika lolote linalotoa msaada kwa ngazi ya diploma. Nitangulize shukrani zangu za dhati kwa wana JF kwa wale wote watakao...
6 Reactions
27 Replies
1K Views
Habari wakuu naomba msaada mwenye ufahamu na kozi ya laboratory science and technology kwenye upande wa fursa baada ya kuhitimu, pia ningependa kujua changamoto zake baada ya kuhitimu
4 Reactions
18 Replies
655 Views
Nimesoma vitabu vingi sana,ila kwa upande wangu naona hiki kitabu kimegusia vitu vingi sana. Ukisoma hiki kitabu utangundua kwamba karibu nusu ya self help books zote zipo summaried humo...
10 Reactions
48 Replies
1K Views
Habari Ashukuriwe Mungu kwa kutupa uzima Binafsi napenda kusoma na kujifunza mambo mbalimbali kutoka kwa walionitangulia ,wenye uzoefu na wengine wote Katika elimu tunakutana na changamoto...
4 Reactions
32 Replies
4K Views
Neema imewajia tena wale wote walio kosa vyuo. TCU imetoa nafasi tena kwa wanafunzi kufanya application za vyuo Jitahidini kuomba vyuo vingi Kuwa makini katika uchaguzi wa degree programme...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Jamani, kama title inavyosema, mtoto anataliwa kuconfirm chuo anachoamini mi Bora kusoma Sheria kati ya vyuo vifuatavyo:tunaomba ushauri Chuo kikuu kipi unashauli niconfirm make nimechaguliwa 1...
5 Reactions
47 Replies
2K Views
Habari, Samahami nimejikuta katika wakati Mgumu sana baada ya mwanangu kumaliza darasa la saba mwaka huu 2024. Tumekuwa tukivutana na mke wangu sana. Mtoto kapata shule nyingi za boarding...
4 Reactions
28 Replies
1K Views
Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika hapo juu Niwatakie usiku mwema
0 Reactions
1 Replies
169 Views
Niseme tu wazi mimi nimesoma UDSM, Ila sifurahishwi na jinsi ambavyo wahitimu wa udom wanavyopewa upendeleo ktk soko ajira kwasasa kuliko vyuo vingine au upendeleo? Hivi karibuni nilikuwa nchini...
4 Reactions
109 Replies
22K Views
Back
Top Bottom