THE KINDIKI FAMILY
1. Prof. Jonah Nyaga Kindiki, International Education and Policy, Dean of Faculty of Education, Moi University;
2. Prof. Isaiah Iguna Kindiki, Soil Science, Vice Chancellor...
Habarini,mimi ni mwanafunzi niliyehitimu mwaka huu kozi ya ya uhandisi wa magari(degree) na nina GPA ya 2.8,, ndoto zangu siyo kufanya kazi Toyota au Scania au kampuni kubwa za magari, ila nataka...
Picha: Pinterest
Upendo wa mwalimu si kumfundisha mtoto tu bali hata kulinda heshima na hisia za mtoto kwa kuweka siri au faragha za wazazi wake.
Usitumie makosa ya mtoto na kufananisha na...
Niliomba chuo(TIA) na kupata nafasi. Aidha nilipangiwa campus ya Mwanza.
Nimefika kwa ajili ya Udahili naambiwa nimepangiwa chuo kimakosa, kozi hiyo haipo kwa hapa Mwanza natakiwa niende Dar es...
Mtumishi akienda kujiendeleza katika fani nyengine akirudi anafanyiwa re- categorization maana yake anahama na mshahara uleule au inakuaje? na kwanni halamashaur zinakataa kutoa ruhusa mtumishi...
Naombeni msaada wakubwa zangu mimi nampango wa kuhama chuo na mdahuohuo ni badili na kozi i.e kutoka DUCE kwenda udsm.
1: Je, inawezekana?
2: Changamoto zake ni zipi?
3: Je, inabi mchakato uanze...
Baadhi ya watu wamekuwa wakiuliza kuhusu Veta na jinsi gani wana toa elimu au wengine wana amini veta ni sehemu ya watu walio feli.
Veta wanatoa kozi mbali za mda mfupi na za mda mrefu kulingana...
Dear all, naombeni msaada ni hatua gani za kufuata endapo utapoteza vyeti vya taaluma, kuanzia cha kuzaliwa, SCEE, ACSEE na Professional certificates...
Vinahitajika na muajiri
Habari wanazengo mmeamkaje
Kijana wenu nimepata changamoto kidogo nimepoteza bahasha yangu yenye vyeti vyangu na kiukweli sijui nime misplace wapi bahasha ilikua na cheti cha form original ila...
Hello habari,
Malalamiko yamekuwa mengi kwa wanafunzi wa clinical officer kwa vyuo vingi hapa Tanzania, wanafunzi wanafelishwa makusudi, vyuo vingi wanaopata pass hata robo ya darasa hawafiki...
Habari zenu Wakuu
Bodi ya mikopo leo imeanza kuallocate mikopo kwa wanafunzi wanaoendelea na masomo kutoka vyuo mbali mbali
Inafahamika kwamba allocation ilivyokuwa mwaka jana mtu aliyepata...
Wakati mabillioni ya nyota zilizo sambaa angani kwenye galaxy ya mlky way linapatikana JUA ambalo ndio muhimili wa mfumo wetu wa jua (Solar system). jua letu limetengenezwa takribani miaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.