Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Tusaidiane kuhusu Masters of Educational Management and Administration NA Masters of Education in Administration, Planning & Policy Studies M. Ed (APPS)
1 Reactions
2 Replies
358 Views
Wakuu naomba kufaham kwa yeyeto ambaye amepata tetesi au anajua ni lini PDF la usahili wa ZIMAMOTO linatoka. Dogo langu aliomba nafasi sasa ila Siku zinasongea hatuoni mrejesho. Mwisho japo si...
0 Reactions
3 Replies
675 Views
Habari wakuu, naombeni kuuliza; Hivi unapokwa umeripoti chuo inachukua muda gani hadi kupewa baadhi ya hela za mkopo, na unakuwa unapewaje? Mfano kama mimi nimepta 1,030,000 ada na chakula...
1 Reactions
11 Replies
868 Views
Naomba kuwauliza kama hamtajali. Naomba mnijulishe kuhusu kozi zinazohusu masuala ya usafirishaji na inakuaje tafadhali
1 Reactions
1 Replies
151 Views
Ni shule Gani ya msingi (English medium)ambayo inafundisha kiingereza na kifaransa au kiingereza na kichina Kwa mkoa wa Dar es salaam wilaya ya ubungo?Au hata kinondoni?
3 Reactions
7 Replies
676 Views
Nataka Kujua mashujaa wa kipindi cha nyuma kama kina chifu mkwawa bado wana somwa kweli mtaala wa elimu wa sasa?
1 Reactions
5 Replies
227 Views
Wakuu habari za saa, Mimi ni mwanafunzi niliyechaguliwa Kozi ya clinical dentistry . Katika utoaji wa mkopo Kozi yangu pia ni moja ya kozi iliyopewa kipaumbele kupata mkopo ngazi ya diploma...
1 Reactions
9 Replies
605 Views
jamani wadau kumekuwa na hii kozi (BED ECE) inayotolewa na baadhi ya vyuo hapa nchini kama udsm, udom na sekomu. Inaonekana haina mda mrefu toka ianze kutolewa. Naomba kujuzwa zaidi kuhusu hii...
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Habari Wana JF. Baada ya dirisha la 4 dogo account yake inasema hivi Bodi ya Mikopo (HESLB)
1 Reactions
32 Replies
2K Views
Hasa kwa wale wenye malengo ya kuja kuajiriwa kwasababu ukweli mchungu wa mfumo wetu wa elimu yetu inaandaa zaidi wahitimu kuajiriwa serikalini, wachache sana wamevunja mwiko huu kwa kutumia...
9 Reactions
52 Replies
2K Views
Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza Matokeo ya Mtihani wa Darasa la 7 uliofanyika Septemba 2024 yanayoonesha Ufaulu wa Wasichana umeshuka kwa 0.53% kulinganisha na ufaulu wa 80.58%...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Mimi ni mhitimu wa diploma ya Records archive and information management, nilikuwa napenda kujua ama kupata maoni na ushauri kutoka kwa watu mbali mbali ni course ipi itakuwa sahihi katika...
1 Reactions
8 Replies
976 Views
To all my youngsters. To those still in school: life changes drastically after you graduate. Make friends and engage in activities beyond academics. These experiences will help you navigate the...
1 Reactions
2 Replies
274 Views
Na Josephat H Interview And Carrer Coach +255656480968 Dar Es Salaaam, Tanzania 👉Leo ni tarehe 28.09.2024, na ni siku chache tu tangu usaili ulipositishwa rasmi kupitia barua iliyotolewa na...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
ANGALIZO: Huu uzi hauwahusu wale ambao bado wapo kwenye industry ya Elimu bali ni kwa wale waliokwishatoka nje ya Game tu ⚠️ Ughonile.. kuna muda nikiwa idle nakumbuka muda niliopoteza shule...
36 Reactions
135 Replies
3K Views
Salaam! Kijana wangu kahitimu kidato cha nne, Ana division FOUR ya point 26, Nimeazimia kumpeleka VETA asome fani yoyote ambayo kwa sasa ni marketable, Naomba Ushauri wenu kati ya hizi zifuatazo...
1 Reactions
33 Replies
1K Views
Huhitaji kuandika au kusema ndio uonekane mnyanyasaji au mdhalilishaji hata kusambaza maudhi ya kibaguzi kama hili. Huu mfano nimetumia ili kuonyesha kiasi gani tunaangamiza nafsi nyingi bila...
0 Reactions
0 Replies
96 Views
WANAFUNZI 19,345 WAPANGIWA MIKOPO YA TZS 59.49 BILIONI AWAMU YA TATU Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu leo (Jumapili, Oktoba 20, 2024) imetangaza Awamu ya Tatu (Batch Three) yenye...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu matokeo ya mtihani wa darasa la vii kwa mwaka 2024 yametoka. Matokeo ya Darasa la saba yatangazwa leo Oktoba 29, 2024 yaliyotangazwa na Katibu Mtendaji Baraza la Mitihani Necta Dkt. Said...
5 Reactions
106 Replies
88K Views
Mimi ni muhitimu wa shahada ya LOCAL GOVERNMENT ADMINISTRATION AND MANAGEMENT kutoka chuo cha serikali za mitaaa mwaka 2023 Nimekuwa nikiahangaika kuomba ajira hata sekta binafsi katika ngazi ya...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Back
Top Bottom