Naombeni kuuliza, mimi hapa nilipata mkopo 80% niko naanza 1st year mwaka huu kwa kozi ya Metarogy.
Je, naweza kuapply kwa dirisha hii lililo funguliwa UDOM na nikafanikiwa Diploma kwa kozi ya...
Mitihani ya kidato cha nne imeanza Jumatatu ya tarehe 11 Novemba.
Leo Alhamisi moja mitihani waliyofanya ni practical Biology.
Kuna kituo cha watahiniwa binafsi kipo Sinza leo wamewazuwia...
Mwanangu amemaliza darasa la saba na amepata alama hz
Ana c moja tu
D nne
Na e moja
Naomba walimu mnijuze km kuna uwezkano wa huyu dogo kupangiwa shule na selikali
Naomba kuuliza kama mtumishi wa umma (mwalimu) anataka kujiendeleza kupitia open university siku za mitihani inabidi awe anaomba ruhusa kwa mwajiri?. Au wazoefu mshawahi soma open mlikuwa mnafanyaje
Naombeni msaada katika hili wadau mtu aliyehitimu kidato cha nne anaweza kupewa mkopo na bodi ya mkopo kwa ajili ya kusoma diploma?
====
Pia soma: Bodi ya Mikopo (HESLB) pamoja na kutoa...
Shule zote za serikali za msingi zibadilishwe kuwa English Medium ili kuondoa ubaguzi kwenye shule za msingi za serikali sababu serikali yenyewe inazo shule za English Medium kibao kwa nini...
Naomba kufafanuliwa na nielewe juu ya swala hili. maana wengine wanasema shahada yeye anafika mpaka bar ( mwisho) stashahada anaishia daraja H na astashahada anaishia daraja G? je kuna ukweli hapo?
Kumekuwa na wizi wa pesa zinazokusanywa kwenye Shule za Sekondari, Tsh. 50,400/-. Wakuu wa shule wamekuwa wakikusanya pesa hizo lakini hawawapatii bima Wanafunzi hadi wanamaliza masomo yao hasa...
Habari wamanzuoni naweza kupata msaada wa kuweza kupata soft-copy ya vitabu hivi vya science kwa level ya A-Level
kama
1. Conceptual Chemistry Volume I For Class XI
2. Conceptual Chemistry Volume...
Naombeni kujua tofauti kati ya bachelor of sciences with education na bachelor of education in science na ni maeneo gani tofauti wahitimu wa kozi hiyo wanaweza kuajiliwa na ni ipi bora kwa ajira...
Mwanzo nilikua naikubali sana CCM ila kwa sasa sina imani tena na hiki Chama hasa kwa hiki walichotufanyia wanafunzi wa chuo mwaka huu wameweka batch nne tu za kupewa mkopo na kupelekea wanafunzi...
Bi kupoteza muda.
Mimi ni mgeni hapa wakuu nimecheki haraka haraka sioni thread maalumu ya OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA THREAD.
Nataka kujiunga nisome stashahada ya uzamili na nataka panapo uzima...
Shule ya msingi Sabaga ipo Mkoa wa Kigoma wilaya ya Kasulu vijijini, Shule hii ina zaidi ya wanafunzi 1,567 na kuna vyumba 8 tu ya madarasa, Licha ya uhaba wa madarasa pia kuna uhaba mkubwa wa...
Najitambulisha kama Mwanachuo wa Chuo Kikuu kimoja hapa Tanzania na mdau wa Jamii Forums.
Nalalamikia Loans Board kuchelewesha malipo kwa Wanafunzi vyuoni. Mfano chuoni kwetu tumefungua Tarehe...
Je, kati ya MUST (Mbeya University of science and technology) na Arusha Technical ni kipi chuo bora ambacho unamshauri mdogo wako asome kwa masomo ya Computer?
Bila shaka tunaweza kuwa mashahidi wa jinsi somo la HISABATI lina umuhimu katika Ulimwengu wa sasa,
Utakubaliana nami kuwa Hisabati ndio nguzo muhimu katika maendeleo ya Sayansi na Teknolojia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.