Naombeni kuuliza hapa kuna nduguu angu anahitimu chuo kikuu kwa kozi ya bachelor of education in physics,
Je anaweza kutumia cheti cha f4 au f6 kuweza kuanza kozi nyingine mbali na hiyo
Aisee hivi unaweza kusoma computing sciences na kusoma code bila ya mfumo rasmi wa elimu kwa Tanzania na je kuanzisha financial technology company(fintech) vigezo vyake ni vipi?
*********
Wakuu za leo naomba kuuliza kwa idara ya Afya kama umemaliza ngazi ya cheti unaweza kuomba academic transcript baada ya matokeo kutoka au inatakiwa ukae mda gani ndo uapply iyo academic transcript...
Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza katika kozi ya Bachelor of Health Services Management nina shauku ya kupata GPA ya 4.5 had 5.
Naomba ushauri wenu wataalamu nin nikazie au nifanye!
Ahsante...
Habari wakuu naombeni mimi ni CO muajiriwa serikalin kutokana na kuwa na muda mwingi kazin kwangu nimewaza kusoma kozi ya data management pale open university bika kuomba ruhusa kazin,vipi kuhusu...
Habari Wadau,
Katika pilika pilika za maisha hapa na pale nimeona Tangazo la chuo cha IAA linalosema wanatoa Masters kwa mwaka mmoja.
Naomba kuuliza wadau hii kitu imekaaje.
Je, Mamlaka husika...
Wakubwa natarajia kuhamia huko soon.
Naomba mnielekeze shule zinazotoa taaluma nzuri Kwa binti yangu wa darasa la tano. Iwe shule ya kutwa, natanguliza shukrani.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nataka kujifunza ufundi wa vifaa vya umeme kama TV, Redio, simu na vinginevyo naomba kujuzwa chuo kizuri cha kujifunza ufundi huo hapa Mwanza.
Wadau hamjamboni nyote?
Serikali yetu sikivu iruhusu shule zake za msingi zitoe elimu kwa lugha ya kiarabu Kwa kuzingatia mitaala ya kiserikali sawasawa na zile za kiingereza almaarufu...
Habrini wadau
Je kwa wakati kama huu, je ni kozi zipi za ufundi zinazotolewa kwenye vyuo vya serikali kama VETA kijana anayependa kujiajiri kwa kufungua ofisi yake zina soko kubwa kwa sasa kama...
Chuo cha City College kimewaaacha njia panda wanafunzi waliohitimu masomo yao Mwaka huu 2024 baada ya kutangaza kuwa mahafali( graduation) yatafanyika tarehe 22/11/2024 na kuwahimiza wanafunzi...
Samahani viongoz wangu!Nilikuwa naomba mnisaidie je naweza kuhama kozi katika chuo cha udom kutoka nursing kwenda pharmacy au md nanabidi nifuate hatua zp? Na itakuaje kuhusu mkopo? Naomben...
Wakuu habari?
Nina mdogo wangu anasoma diploma in pharmaceutical sciences chuo kimoja Cha private hapa Mwanza,
Amemaliza First year mwezi huu anaenda Second year nilihitaji kujua process za...
Habari zenu wakuu
Jaman naomba msaada kozi gani nzuri ya kusomea kati ya gender and development na management of social development
Na vipi kwenye upande wa kujiajiri au kuajiriwa je ipi ni...
Naombeni msaada wa uelewa kuhusu online courses, nahitaji kusoma online je niwapi nitapata course za online ambazo nitakuwa certfied?
Na je hizi course gharama yake ikoje? Je ziko kozi za bure...
Habari zenu.
Naona kuna kitu kinaitwa Project Management Professional certification ambapo ukifuatilia wanasema kinatolea na chuo cha project cha P,I kilichopo marekani lakini ukipata cheti chake...
Nimeona katika tangazo la kazi wizara ya afya Tamisemi, kuna nafasi za Clinical Asistsnts.
1. Hawa ndio akina nani na imeanzishwa lini ? Nijuavyo ngazi ya chini ya tabibu ni Clinical Officers...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.