Waungwana naombeni ushauri mimi ni muhitimu wa diploma ya Business administration . Nlishindwa kuendelea pindi tu nlivyomaliza kwasababu ya changamoto za matokeo (Nacte) nina mpango wa kufanya...
Amani ya bwana iwe pamoja nanyi, mi ni mwanafunz ninaechukua kozi ya afya(pharmacy) kwa bahati mbaya sikufanikiwa kufanya mtihani wa nacte mwezi Jana, kutokana na kuugua.
Nikashauriwa na academic...
Mimi nafikiria PhD nzuri ni ile Jopo la Maprofesa linaitana na kukujadili baada ya kuona Utendaji/ Uwezo/ Ubunifu wako Uliotukuka Katika eneo fulani ambao hata watafiti hawajaufikia.
Baadae Jopo...
Habarini ndugu,
Hii inawahusu moja kwa moja bodi ya mikopo elimu ya juu,kunashida gani mpka wanachuo mpka wiki jana hawajapata boom?
Na nikiangalia kwa umakini huo ni mkataba kati yenu ninyi na...
Embu tuelelewesheni utofauti hapa kwanini hii Taasisi inaitwa Chuo kikuu Mzumbe na isiwe Chuo kikuu Cha Mzumbe.
Kama ilivyo kwa Chuo Kikuu Cha Dodoma, au Chuo Kikuu Cha Dar-Es-Salaam n.k
Mlau wa mahafali ya 23 ya Chuo Kikuu Mzumbe yanayofanyika leo Novemba 24, 2024 mkoani Morogoro Profesa Hawa Tundui amesema ajira ni chache lakini fursa bado ni nyingi, na hivyo kuwataka wahitimu...
Jamani naomba kuuliza mwenye taarifa au uzoefu wowote atusaidie kwa sisi tuliokata rufaa kweny dirisha la mkopo HESLB majibu lini tujue wapo kimya hatuelewa lolote jamani
Habari wa jukwaa natumaini ni wazima,Nina kimeo carry ya quantitive Technics Postgraduate natakiwa ndani wiki mbili zijazo nikafanye mtihani,please naomba nipate mwalimu wa kunibrush niweZe...
(C&P) - "Mgeni Maalumu wa Mahafali ya 23 ya Chuo Kikuu Mzumbe ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu katika...
Ni kijana wa kiume aliyemaliza kidato cha nne mwaka Jana na kuchaguliwa kuendelea na kidato cha tano mchepuo wa Sanaa mwaka huu.
Hakuweza kuripoti shuleni mwaka huu kwa sababu alikuwa mgonjwa...
Vyuo vyote Tanzania vya elimu ya juu vimeshafunguliwa. Kadhia kubwa iliyopo kwa Sasa ni bodi ya mikopo kushindwa kuwapatia wanafunzi boom yaan meals and accomodations kitendo ambacho kinasababisha...
Samahani, naomba kujua hivi bodi ya mkopo wa elimu ya juu Inatuchukuliaje Watanzania? Maana kwenye mwongozo wa mkopo wa diploma 2024/25 wanaruhusu mwenye elimu ya form four, certificate na form 6...
Habari wanaJF, Natanguliza shukrani.
Kuna mdogo wangu kwenye haya matokeo ya mwaka huu mwezi wa pili ya kidato cha nne alipata ufaulu wa DIV 2 YA 18(CIVICS: C, HISTORY: B, GEOGRAPHY: C...
Habari
wakuu,
Udsm kwa nyakati tofauti huwa inakuwa na viongozi DARUSO pamoja na kambi
za wanaharakati. Na wote kwa pamoja wana mchango mzuri sana.
Sasa tukumbushane wanaharakati maarufu...
Mradi wa SEQUIP - AEP unafadhiliwa na Benki ya Dunia na unatekelezwa na Ofisi ya Rais TAMISEMI. Mradi huu unalenga kuwarudisha watoto wa kike waliokatisha masomo kwa sababu mbalimbali kupitia...
Ni walimu wakenya wanao fundisha kwenye shule za English Medium za Tanzania.
Wanasema ; 👇👇👇👇👇
" Zamani tulikuwa na soko kubwa Tz kwa sababu kwenye mfumo wa elimu wa Tz kulikuwa na mitihani ya...
Ni jambo la ajabu kwa ngazi ya certificate kukosa cheti eti mpaka umalize diploma ndio upewe cheti. Hii haipo sawa na inatukwamisha kimaisha.
Tunaomba mtoe vyeti kwa wahitaji muache janja janja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.