Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Chuo cha QBSCL ni chuo chenye usajili wa VETA.Kinafundisha kozi za IT,BOA,NURSERY TEACHER,CLEARING AND FORWADING,HOTEL,n.k KIINGEREZA UTAFUNDISHWA BURE.Hostel zipo na Chuo kipo Dar es...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
mwenye tarifa kamili ni lini madaraja kwa watumishi yatapandishwa
0 Reactions
5 Replies
1K Views
JE ET NI KWEL KUWA UKITAKA KUSOMA PHARMASI NGAZI YA DIPLOMA LAZMA USOME VYUO VYA BINAFSI KWA MAANA YA KUWA HAKUNA VYUO VYA SERIKALI VINAVYOFUNDISHA PHARMASIA NGAZI YA DIPLOMA
1 Reactions
2 Replies
1K Views
1. Wazo lililokujia kwanza baada ya kusoma kichwa cha habari hiki (cha kufikirika) ni: utapataje Masters bila kupitia Form Four? NDIYO HAPANA 2. Mtoto anazaliwa mjinga. Anapopelekwa Day Care au...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Salamu wadau kichawa cha habari kinajieleza nahitaji vitabu vya aina ye yeto ile natanguliza shukrani.
1 Reactions
11 Replies
4K Views
Mwenye paper za PCB 2018 ACSEE aniaidie be it PM
0 Reactions
4 Replies
920 Views
Habar zenu wakuu Naomba kufahamishwa kuhusu notes za mgote zipo katka mfumo gan?? Na bei yake maana tulio mikoani tumekua 2kisikia 2 kua n notes nzur Msaada wenu wakuu
0 Reactions
6 Replies
8K Views
Kuna mtu ameweza kupata majibu au kusign in kupitia rita portal akapata majibu?????maana mimi nimewachoka kila siku wananiandikia incorrect username or password Jee kama umefanikiwa umefanyaje?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari zenu wasomi na walimu wote kwa ujumla. Ninazo nafasi za kazi ya ualimu kama ifuatavyo 1.History (1) Advanced Level 2.Physics (2) Advanced Level 3.Kiswahili (1) Advanced Level 4. Geography...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Shikamooni wakubwa zangu. Mimi ni kijana wa miaka kumi na tisa msingi kidato cha 6 mwaka huu mchepuo wa pcm.Iwapo kama mtihani wa kidato cha 5 ungekuwa ni necta basi mi ningesha jipatia div 3...
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Habarini wana jf, nina mdogo wangu kamaliza kidato cha nne 2016, na matokeo yake yalikua hivi...............physics D, chemistry C, biology C, geography C, English C,civics C, kiswahili C,history...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Habarin...napenda kuuliza ili uweze soma CCNA course unatakiwa uwe unalevel gan kielim mfano ata mtu anaeanza degree ya IT mwaka wa pili anaweza anza kusoma na pia n garama gan masomo pampja na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa yoyote anae jua jinsi ya kuandika project Proposal atufahamishe mpangilio wake unatakiwa kuwaje (Content) Proposal Hii nikwaajili ya kuomba sponser ya Government katika project hii. Sent...
1 Reactions
18 Replies
37K Views
Habari zenu,naomba kujuzwa kwa yeyote anae jua kuhusu udahili wa ualimu kwa ngazi ya cheti kwa mwaka wa masomo 2019/2020,coz naona kimya na cjaona taarifa yoyote ihusuyo na udahili ualimu kwa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
walisema kwenye almanac ya 19/20 kuwa tarehe 10 mwezi June tcu guide book itakua published...kimyaa
1 Reactions
4 Replies
2K Views
The Konrad- Adenauer -Stiftung (KAS) is offering fully funded Masters of journalism for Media Africa journalists for academic year 2020. The scholarship will offer the following; University...
0 Reactions
0 Replies
515 Views
Ushauri Msaada ndio mambo muhimu kutoka kwenu mimi kupata sehemu bora tafadhali
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari? Nina mtoto wa kike F1 namhamisha toka Mtwara nikae nae hapa Dar , kati ya shule hizo mbili nimpeleke ipi? Ada nimeuliza najua ila waliosoma hizo shule tupeni mazuri na mabaya, nasikia...
0 Reactions
0 Replies
37K Views
Wakuu Sio wote humu ni wazoefu wa vyuo na kozi mbalimbali zitplewazo vyuoni..Wengi wanasikia tu BACHELOR OF BUSSNESS ADMINSTRATION lakini hajui kozi hiyo inahusu nini/ina maana gani. Au ukimaliza...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu naomb kuulza Nina mdgo Wang amesomea diplom in sec chemistry & biology je anwez fundsha English medium n kuendna n syllabus n je n zip changmoto anazo weza kutana nazo
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom