Naomba kuhuliza swali,
Mimi ni laboratory technician(soil) nafanya kaz za site,Natumia nuclear gauge kufanyia kazi ila kila nikijaribu kutafuta effect za nuclear geuge sipati majibu sahihi,
je...
Aisee hakuna kitu inauma kama kukamatwa na simu alafu unaambiwa uipasue mbele ya shule[emoji24][emoji24][emoji24][emoji119][emoji119] Yani balaa sasa ukute umejichanga changa mwenyewe hata mzazi...
Hii ni Riwaya iliyotungwa na Shafi A. Shafi.
Kiukweli huwezi kuchoka kuisoma kama kweli wewe ni mpenzi wa Riwaya.
Napenda sana kupitia matukio ya Denge ambaye ni mwanaharakati wa ukweli na...
Dear friends, I am conducting a research in determining trend of eCommerce in developing countries. The purpose of this research is purely academic. Information supplied will be treated with...
Kupata kazi ya ndoto zako si jambo jepesi, na inawezekana ikawa ni vigumu zaidi kama hujui waajiri wanataka nini kutoka kwako.
Ulimwengu wa wa ajira - kwa kampuni kubwa na ndogo - unabadilika kwa...
Kijana wangu wa Kike Ana D- 5, C- 2 na F ya Math na Physics. Naomba Kujua Ni Kozi gani Anaweza Kusoma Maana Ana D ya chemistry na Biology. Na Ni Chuo gani Hapa Dar anaweza Kusoma kwa Ada Nafuu.
wanyama tajwa juu wamekuwa wakitajwa/kutamkwa, mlengwa anaeza taja ngedere akimaanisha tumbili ama akataja tumbili akimaanisha kima sasa anaejua tofauti aje atujuze
Habari ndugu zangu, kwa anayesoma mchepuo wa HGL anaweza akasomea fani gani chuo kikuu ikiwa matarajio yake ya kwanza ni kupata ajira? (Fani ambayo ajira zake si ngumu sana kupata)
Pia anaweza...
Taarifa hi inasema kutokana namatatizo yaliotokea katika accounts za wanafunzi wanao hakiki vyeti vyao, wanafunzi watatakiwa kurudia kuhakiki hata kama walisha kwisha hakiki hapo kabla, ila pia...
JANGA LA HESABU MASHULENI
Somo la hesabu ni somo lenye uwezo wa kuufanya ubongo wa binadamu kuwa na uwezo wa kufikiria na kuja na jibu sahihi pale penye tatizo na hii ndio faida kuu ya somo hili...
Kwema jamen,naomba ufafnuz wa hyo program juu ,mm ni mhitim wa kdto cha sita kwa mchepuo wa HGE ,hvyo ningependa kujua ukisomea hyo program unaweza ukafnya kazi gani zaid zinazohusiana na hyo program?
SIRI YA MSITARI KATIKA HERUFI ZA F NA J KWENYE ‘KEYBOARD’ YAKO YA KOMPYUTA
Kuna msitari kwenye herufi za F na J kwenye keyboard ya komyuta yako.
Baadhi ya watu wanaamini kuwa misitari hiyo ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.