Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Wadau kwa anaezijua joinin instruction handen high school msaada pleas kama utaambatanisha na photo ya shule au sare za shule itakuwa poa zaid. Natanguliza shukran.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
NDUGU mwnfz kama umechaguliwa shule ya usagara-tanga na hujui ufanyeje Au NDUGUYO au huna maelezo zaid tafadhali nitafute kwa 0716361203 Lengo ni kusaidiana Wenda ndo Mara ya kwanz kusikia tanga...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Msaada jinsi ya kujiunga na chuo cha afya lugalo yan kupata fomu ya kujiunga bila kufanya application online au kama kuna yeyote anasoma hapo naomba msaada wake
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari wakuu? Naomba kufahamu namna ya kuhakiki vyeti vya kuzaliwa. Nimejaribu mara kadhaa kufungua account lakini inagoma. Naombeni msaada.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA WAZIRI MKUU Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo Shule ya Sekondari Bagamoyo Simu ya mezani: 255 23 244 021...
0 Reactions
6 Replies
17K Views
Wadau wa Jamii forum natumai m-wazima wa afya .. Nadhani nafahamika na wengi humu JF ambao hamnifahamu naitwa Sodoka. Kuna mtoto wa kaka yangu amechaguliwa UDSM Bachelor of science in...
0 Reactions
36 Replies
17K Views
Nijuavyo Chuo kikuu cha Milimani ndio chuo bora zaidi katika TANZANIA. Na PRO Kabudi ni katika wahadhari wa muda mrefu katika chuo hicho kauliyake ya kwamba alikua Jalalani (UDSM) mumeipokeaje...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
UTARATIBU WA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA VIJANA KWA MUJIBU WA SHERIA WANAOMALIZA KIDATO CHA SITA MEI 2014. AWAMU YA KWANZA; Vijana 20,000 wataripoti kwenye makambi ya mafunzo ya JKT...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Vipi wadau hivi kipi bora kuapply chuo NACTE au kwenye website ya chuo husika? Coz naona garama ya nacte(10,000) na za vyuo ni (30,000), Bora kipi
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu bila shaka wote wazima pande hizi! Niende kwenye mada, Hivi mtu aliyepata division four ya point 26 anaweza kusomea nini maana hajachaguliwa popote?? Msaada tafadhali!
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naombeni msada wenu wakuu mwenye kujua chuo chenye kutoa coz iyo kuanzia certificate anijuze please.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari zenu wana jamvi natumaini wote muwazima naomba kwa anaye fahamu shule za private za advance zenye ada chini ya million 2 zilizopo Dar es salaam. Kama mkiniambia Na ada zake itakua vizuri...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nina ndugu yangu alihitimu kidato cha nne mwaka jana na kufanikiwa kufaulu kwa kiwango cha daraja la kwanza(1.17),ambapo amefanikiwa kuchaguliwa kujiunga kidato cha tano katika(Combonation ya...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habarini wadau Naomba maelekezo juu ya namna ya kuverify chuo kwa vijana waliomaliza kidato cha nne 2018
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba msaada hapo kueleweshwa jinsi ya kusoma kiwango cha baridi au joto, maana hizi kitu kwakweli nimesahau kabisa wakuu
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwa ndugu zangu waliochaguliwa kidato cha Tano, usihangaike kujua nini kinahitajika shule uliyopangiwa, it's just a simple thing, fungua hiyo link hapo chini. ***Best Wishes Brothers & Sisters**...
5 Reactions
686 Replies
325K Views
Wakuu naombeni kujua kama kuna uwezekano wa kuhama chuo na kuenda kuendelea na advance level.
0 Reactions
22 Replies
8K Views
Back
Top Bottom