A hollow cylinder of radius 100cm rotates about its axis which is vertical. A small body remain in contact with inner wall.
If the frequency of rotation is 180 per minutes.
i) Coefficient of...
Wasalaam waungwana, nina mdogo wangu kachaguliwa kwenda msalato, nina wasiwasi kwasababu kuna taarifa zinasambaa kwamba mwanafunzi akishindwa kuthibitisha nafasi yake kabla ya june 10 basi kuna...
Habari wakuu, kwa wale ambao vijana wao wamechaguliwa kahororo tafadhari tupeane updates kupitia huu uzi kuhusu joining instructions iwapo zitakua tayari zishatolewa.
Aisee wale vijana ambao ni Finalist nawakumbusha hili ndo Bumu la mwisho kwenu pengine labda hutakuja kuingiziwa Kiasi cha 500K kwenye acc yako ndani ya Miaka mitano ijayo...!! Kama huna hata geto...
Baada ya uzi wa Mk54 kuhusu value retention fee ya 6% pamoja na mambo mengine, hatimaye bodi wametoa ufafanuzi sahihi wa jinsi makato yanavyokuwa.
VRF inakatwa kila mwaka kutoka kwenye oustanding...
Kaka zenu na Dada zenu tunepambana kufa kupona msuli tembo kupata tu hii cpa kwa kufanya masomo kumi...na kwa waliokuwa wakitaka kupata na acca walilazimika kufanya Tena masomo kumi ya acca...so...
Habari viongozi, naomba mwenye mawasiliano ya kibiti secondary school, niweze kujua jinsi ya kujiunga mwaka huu 2018/2019. Maana namba zote zilizopo kwenye website yao haipatikani.
Shukran
Habari za asubuhi wakuu, nimechaguliwa advance kwa mchepuo wa HKL ila sijaipenda coz O-Level nili concentrate mostly kwenye science na infact nina credit kwenye masomo yote katika mchepuo wa CBG...
Wakuu nina ndugu amesoma dioloma ya Early childhood education kafanya zake kazi sasa anataka asome degree,nauliza hv kwa Tz hapa chuo gani kinatoa bachelor degree ya early childhood au degree...
Habarini Wakuu!
Naomba@Maxence Mello , @TheInvisible
@Content Moderator.
Please Msiunganishe Wala Kuufuta Huu Uzi!
Nimepata Wazo Jinsi Hali Ya Sasa Mfukoni Sio Nzuri, Hivyo Kupanga Itakuwa...
Marafiki habari.
Nina mdogo wangu kapata chuo Uingereza na scholarship amepewa kama 40% hivyo tunatakiwa kuongezea kama 26million Tshs. Na bado gharama zingine ndogondogo akiwa kule ni juu yetu...
F5 posts 2019 from tamisemi
1st selection 113825-108644 = 5181 baki
2nd selection 5181-1861 = 3320
FURSA ZA SHULE BINAFSI NI WATU 3320+++ wasiotaka shule za serikali
Hatua ni kuongeza shule za...
Wanajamii ndugu yangu amechaguliwa chuo cha Tarime Teachers Collage Astashahada elimu ya awali sasa nilikuwa nauliza mwisho wa kuhakiki na vp kuhusu ada serikali kuna kaunafuu kanawapatia au ndo...
Wanajamii hv ukitoa kuwa afisa maendeleo ni kazi nyingine inatokana na hii kozi na vp private.
Na ukifanikiwa kumaliza diploma vp unaweza kujiunga na degree ya sheria
Wanajamvini ndugu yangu anahitaji msaada wenu,,,ana division 4 ya D 5 kidato cha nne na ana diploma ya community development sasa anahitaji kujua kama anaweza kujinga na degree ya sheria,,,kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.