Habari zenyu!!
Bila kupoteza time mimi ni merchant materials za masomo ya physics chemistry na biology.
Pia nauza dissection kit kwa bei nafuu ipo moja tu wahi haraka.
Muda wa mauzo ni kuanzia...
Wakuu shkamoon
Nna grade hizi
Nmepangiwa umbwe boys high school combi ya ECA Ktk post zilizotoka ila ningependa kwenda HGL je inawezekan?
Na kama inawezekan, process ziko vipi??
Asanten
Je Kuna PhD courses pale Mzumbe University? Na kama zipo ni zipi? Mode of study ikoje. Kwenye website yao hakuna lolote la kusaidia. Anayefahamu anijuze tafadhali
Habari wana-Jf
Naomba kufahamu hili tatizo Ni Mimi tu muhanga au Wenzangu pia?
Kuna mtu nataka kumfanyia "application" Nacte amemaliza kidato Cha nne mwakajana Sasa kila nikiingia Nacte napata...
Wakuu,
Mwenye namba ya simu ya mkuu wa hii shule ya Longido High School naiomba. Najua kwenye joining instructions zinakuwepo.
Kama kuna mwenye joining instructions ya Longido naomba acheki...
Habari wanaJf,Naomba kuuliza wataalam wa IT kuhusiana na hii kozi inayoitwa database administration professional,Je kozi hii ikoje katika soko la ajira/kujiajiri?Kwa kijana aliyemaliza kidato cha...
Wasaalam,
Ninatafuta Syllabus ya Qualifying Test(QT) na Kitini Chake Kinachoonesha Mtiririko wa Masomo Yasomwayo!
Naomba Mwenye Navyo,Iwe Softcopy au Hardcopy,Nitashukuru Nikisaidiwa!
Natanguliza...
Eti wadau ni hatua gani zamuhimu zakufata ili kupata uhamisho maana kuna ndugu yangu kapangiwa malagalasi sec sasa anahitaji ahamie longido sec nihatua gani azifate ili apate uhamisho fasta hapo
Shule ya NYANTAKARA iliyopo mkoa kagera wilaya Biharamulo.
Salaam wana jf wote popote mlipo.
Nipo mkoa wa pwani naomba kwa yeyote anayeufahamu mawasiliano ya shule tajwa hapo anisaidie kupata...
Wakuu, samahani kwa usumbufu
Mdogo wangu kafaulu vizuri physics 'c' chemistry 'B' na biology 'B' bahati mbaya amepangiwa comb ya CBG tena kwenye shule ambayo haina PCB ambayo ndio ndoto yake
Kwa...
Habari wana jukwaa, jamani kwa hapa Dar wapi wanafundisha tuition vizuri pre form five, Nina dogo kapangwa kwenda five baada ya hizi selection wakati aliomba vyuo, msaada wenu please
Natafuta shule za private zenye gharama chini ya mil 2 matokeo yangu kama ya fuatayo CHEM C BIOS B GEO C PHY D MATH F MENGINE YOTE NI C. Natafuta shule ya private ya chini ya mil 2 nataka kusomea...
An aircraft flies with it's wings banked at 35° to the vertical in order to fly in a horizontal circle of radius "r" if the aircraft has mass 4×10^4 kg and constants speed of 250m/s. The two...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.