Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Sorry naomba kueleweshwa kidogo juu ya suala la ku-apply mkopo, swali langu liko kwa upande wa wale ambayo wanahitimu diploma mwaka huu je wanafanya kufanya loan application kabla matokeo yao ya...
0 Reactions
0 Replies
630 Views
Ili moto uwake lazima kuwepo na walau vitu vifuatavyo hewa, joto na fueli. Ikumbukwe kwamba fueli ni maada yoyote inayoweza kusapoti moto kuwaka kwa mfano karatasi kuni mkaa ama mafuta Aidha moto...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Samahani jamanii msaada naomba mniangalizie matokeo ya kidato cha nne namba ya shule S.5019 na wengine ulizeni kwenye hii thread wapo wataalamu watatupa majibu. ======== Karibuni tushauriane...
0 Reactions
809 Replies
100K Views
Habari ya majukumu great thinkers. Pass marks zangu ni biology C. chemistry C. Phy F. MATH F. HISTORY D. NA MASOMO MENGINE NINA C FLAT. JE NAWEZA OMBA KADA GANI YA AFYA KWA PASSMARKS HIZO...
0 Reactions
26 Replies
9K Views
Kwa unayemaliza/Uliyemaliza Kidato cha NNE/SITA, Pitia njia rahisi KUSOMA UHASIBU, usihangaike kama tulivyohangaika sisi kwa kukosa taarifa sahihi.. Fanya maamuzi sahihi sasa.. KWA MAELEZO ZAIDI...
0 Reactions
0 Replies
998 Views
Chand biochemistry nk
0 Reactions
4 Replies
2K Views
wakuu nakusanya material ya kidato cha tano na sita kwa ajili ya mdogo angu aliepangiwa kusoma combination ya PCB kama kuna mtu anaeza nisaidia juu ya hili anipm tuone tunafanikishaje hili...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba sana kuelemishwa juu ya uchaguzi wa Vijana wetu kuingia kidato cha tano. Mimi kijana wangu alipata daraja la kwanza ya pointi 9. Hii ina maana alipata A7, B1 na C1 lakini cha kushangaza...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Baada ya kutoka selection za Kwenda form five naona vijana wengi wametupwa College wakapige Diploma badala ya Kwenda A level... Sikatai ni Jambo zuri kama mnavyodai kuwa mwenye Diploma anakuwa...
2 Reactions
12 Replies
5K Views
Kwanza nianze kwa kuwatakia sikukuu njema ndugu zetu wa islam, mafanikio ni ndoto ya kila mtu aliye duniani,japo mafanikio yamekuwa ni magumu kwa wengi kulingana na tamaduni,mazoea,sera za...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu kwa anaye ielewa kasulu teacher's college anipe muhtasari iko vipi kitaaluma ,mazingira nk
2 Reactions
2 Replies
988 Views
Eti wadau shule ya longido sec IPO vizuri kitaaluma na mazingira au
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wakuu kwa anyeijua handen high school kitaaluma na kimazingira msaada tafadhali
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Soma , hata wazungu wanafanya udanganyifu kwenye mitihani. Lakini angalau wanawajibika kwa hiari kwa makosa yao...
0 Reactions
0 Replies
961 Views
wakuu nilikuwa naomba kwa anayeijua shule ya sanya juu aniambie ni shule ya aina gani? na ipo je
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Ukijaribu kulogin kwenye acc yakk unaambiwa rita says wrong password and username! Msaada tafadhal
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Naomba kufahamishwa fursa za kozi niliyotaja hapo juu.Kuna bwana mdogo kachaguliwa kozi hiyo katika chuo cha Mbegani.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimepangiwa chuo cha ualimu kigoma stashada ya ualimu wa fizikia na biologia . Sasa naomba ushauri nfanyaje jameni na mi mipango yangu ilikuwa ni kwenda advance nikasome pcb
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakuu hongereni kwa sikukuu ya Eid. Husika na kichwa cha habari hapo juu chahusika. Naombeni msaada sana wa kufahamu chochote kuhusu chuo tajwa hapo juu. Nina ndugu kijijini kachaguliwa hapo...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Back
Top Bottom