Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Wakuu mimi nmepangiwa kifaru secondary school IPO moshi sasa wakati natafuta joining instruction nmekuta ya 2017 vp naweza kuitumia au kama mwenye nayo ya 2019 naomba anisaidie wakuu
0 Reactions
13 Replies
4K Views
[emoji344][emoji344][emoji344] *MUHIMU KWA WANAFUNZI WOTE WALICHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO 2019/2010* [emoji778] *PATA JOINING INSTRUCTIONS ZA SHULE ZOTE KIDATO CHA TANO 2019/2020*...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Salaam wakuu... Kama kichwa cha habari kinavyoeleza, nataka kufanya mtihani wa kidato cha sita combination ya HKL kama mtahiniwa wa kujitegemea, lakini sijui kama bado inaruhusiwa kama zamani au...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wanaitwa YUNA TZ jumuiya ya vijana wa umoja wa mataifa, wametoa nafasi za kujiunga na jumuiya hiyo kwa wanafunzi mbalimbali wa vyuo kwa mwaka 2019/20. Kwa ufupi tu hii ni kama ''UVCCM'' ya Umoja...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu zangu, naomba kujua shule gani bora kwa mchepuo wa CBGS kwa mikoa ya Kanda ya Ziwa za private? Asanteni
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Mambo vipi Wadau Nimemaliza Bachelor of Science Economics But sina ndoto za kufanya kazi kwahivisasa hivyo Naomba kujua ni Masters gani yenye labor-market kubwa zaid hasa hizi za Social...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kuna tatizo katika swala zima la shule za watoto wetu Nini shida hasa miaka 50 naushehe tunashindwa kujenga shule?? Nashukuru sasa hivi serikali ya Awamu ya Tano imelivalia njuga na inajitahidi...
0 Reactions
1 Replies
819 Views
Salam! Kijana wangu amepangwa form five Tarime, Nahitaji apangwe Moshi au hata Arusha, morogoro, na Dodoma. Nisaidieni wakuu sijui nianzie wapi.....
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habar wakuu Nashukuru mungu nmepata nlicho muomba nmepangiwa comb ya pcm sasa nilikua naomba mnipe mbinu za kufaulu comb hii acha na ya kupiga msuri iyo nimeshajiandaa Napenda nijue natakiwa niwe...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Mwenye link a selection za form five 2019/20 inayofunguka jamani naiweke hapa naomba.
0 Reactions
10 Replies
6K Views
kwanza kabisa napenda kutanguliza shukrani kwa wana jf kutokana na jinsi ninavyo nufaika,hasa pale ninapotaka msaada. kiukweli kwa sasa vijana wengi hasa wanao maliza la saba na form four...
0 Reactions
15 Replies
44K Views
Wandugu ninadogo amechaguliwa huko nataka kujua utaratabu endapo ukichaguliwa na serkali moja KWA moja hasa hasa ktk gharama au kiushauri naweza kughairi ili nimpeleke kidato cha tano??
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Kama Mtanzania yeyote, na Muafrika yeyote ambae anafuatilia habari mbalimbali , Nimejikuta sijapitwa na hizi habari na mijadala inayoendelea kuwa Namba moja ameshindwa kuzungumza lugha ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zenu wana jamvi natumaini wote muwazima. Nina mdogo wangu amepata division 3 ya 24 anataka kusoma HGL kwenye combination ana CDD. Shule gani itamfaa ya private yenye ada ya million 2 au...
0 Reactions
4 Replies
36K Views
Kuna Mtu kachaguliwa kujiunga na chuo "Certificate in microfinance management" Anauliza inahusu nini (i.e baada ya kusoma unaweza fanya kazini gani...au kujiajiri wapi au kuajiriwa kama nani?)...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wanajamvi naomba msaada wakujua uelekeo wa dish dogo la KU ili kupata Dubai one,MBC Action na frequency zake.
0 Reactions
0 Replies
937 Views
Wadau mm nnahitaji ku aply kozi ya masters pale ud na udom lkn nnapata changamoto kati ya hizi kozi nitakazo zitaja ipi ina advantage ya kupata nafasi zaid pindi nikihitimu 1.masters of edu...
0 Reactions
3 Replies
959 Views
Habari wadau, naomba msaada kwa anaesomea chuo cha ualimu Rukwa au aliyewahi kuhitimu mafunzo ya ualimu grade A pale, nahitaji kujua gharama yake ya ada kwa mwaka huu 2014/2015 nahitaji kujiunga...
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Jana mchana ninepigiwa simu na ndgu yangu ambae amemaliza kidato Cha sita hivi majuzi, amerudi kijijini kwa Wazazi wake baada ya kumaliza masomo yake ya advance. Alipigia kuniomba nimsaidie Tsh...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Nawasikitikia wanao maliza form 4 miaka hii, yaani ni taabu tu. Kwanza hizo fomu ambazo huwa wanawapa wachugue shule za kidato cha 5 za nini? Wanawapa watoto fomu za kuchagua michepuo na shule...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom