iv karibuni nacte walifungua maombi kwa ngazi ya astashaada na stashahada ktk muongozo wao wamesema wanafunzi anaweza kuomba moja kwa moja chuoni yaani atasajiliwa na chuo ktk mfumo uitwao...
habari ya mchana ndugu zangu,
kama mnavojua elimu yetu imegubikwa na changamoto nyingi sana hasa kumwezesha mtoto wa masikini kupata elimu hasa ya masters katika umri reasonable.
mfano, loan...
habari ya mchana ndugu zangu,
samahani maana naweza kuwa niko nje ya siasa lakin najua huku tumejaza great thinkers wanaweza nisaidia uelewa na uzi ukapita.
kama mnavojua elimu yetu imegubikwa na...
MAY PEACE AND BLESSINGS OF THE ALMIGHTY ALLAH BE UPON YOU.
LET'S RETHINK AGAIN
I MUST ASK, are we preparing students for the future or the past? because we are teaching students with different...
Wakuu kwema,naweza kuwa nimeweka kwenye forum isiyo sahihi sana lakini mtaniwia radhi.Nina jamaa yangu alikuwa anasoma chuo cha SAUT,akiwa mwaka wa mwisho alipata carry ya masoma mawili,kabla ya...
Naomba kujua kuhusiana na chuo hichi kwa maana nilipewa namba zao nikawapigia hawapoki nikawatext hawajajibu sasa naomba msaada kwa anaye soma hapo au anaye jua namba zao zingine ani saidie mimi...
Nimeangalia NACTE na kukuta kozi za afya mwaha huu 2019/2020 diploma/certificate Muhimbili sioni application ya kozi hizo kwenye guide book ya NACTE 2019/2020. Mwenye taarifa anijuze please
When we reference works in our own writing, we are engaging in a good and ethical academic practice. Our quality of writing and our ability to reference, tend to become a representation, of how we...
Samahano jamani mi nimefaulu kidato cha nne kwa division 3 ya point 22(kwanza)
Math -d
Eng-c
Chem-c
Hist-d
Kisw-c
Civ-c
Phy-c
Bio-c
Sasa wakubwa nlikuwa nauliza nitapata shule serikalini
Usisahau cheti original na living certificate original ila kama huna living njoo na kitambulisho cha shule ni muhimu sana mana maafande wamechafuka roho.
Karibuni!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.