Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Website ya Nacte imefungua dirisha la maombi ya kozi mbalimbali kwa vyuo vyake. Wanaoomba ni vijana wa Form 4 ambao, leo baadhi Tamisemi imewapangia vyuo . Hapa inahitajika ufafanuzi kuwa; 1. Je...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Ndugu zangu napenda kuuliza, hivi kwa wale form six wanaochaguliwa JKT kwa awamu ya pili..wakati muda wakujiunga vyuoni umefika...huwa kuna utaratibu gani wakuendelea na mafunzo hayo baada...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Tamisemi wametoa majina ya watoto walio dahiliwa kidato cha tano na vyuo mbalimbali. Majina yako kwa PDF lakini hayapo katika mpangilio na hauwezi kutafuta jina mojamoja kurasa ziko 5934 sasa...
0 Reactions
1 Replies
803 Views
Jumla ya wanafunzi 108,644 sawa na asilimia 98.31 ya wanafunzi wote wenye sifa wamechaguliwa kujiunga na kidato cha Tano,Vyuo vya Elimu ya Ufundi na vyuo vingine vinavyosimamiwa na Baraza la...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Naombeni msaada Kwa anae ijua shule yoyote ya advance yenye ada chini ya million 2
0 Reactions
9 Replies
1K Views
NAOMBA KUELEWESHWA TOFAUTI KATI YA KOZI HIZI MBILI: ORDINARY DIPLOMA IN CLINICAL MEDICINE NA ORDINARY DIPLOMA IN NURSING AND MIDWIFE JE, IPI NI NZURI ZAIDI, HATA UTAKAPO TAKA KUCHUKUA BACHELOR...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ingia website ya NACTE utaona shehemu imeandikwa TAMISEMI SELECTION...bofya hapo utafute jina la mwanao
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau mm nnahitaji ku aply kozi ya masters pale ud na udom lkn nnapata changamoto kati ya hizi kozi nitakazo zitaja ipi ina advantage ya kupata nafasi zaid pindi nikihitimu 1.masters of edu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba mnitajie vyuo vya serikali vinavyo toa kozi za ardhi certificate [emoji120][emoji120]
0 Reactions
2 Replies
783 Views
Mwenye PDF ya majina ya wanafunzi waliochaguliwa kidato cha tano 2019/2020 nayaomba tafadhali
0 Reactions
3 Replies
1K Views
"Cha Mkufuu, Mwanafuu Ha, Na Akila Huu, Cha Mwanafuu, Mkufuu Hu, Na Akila Ha" #Kiswahili #SwahiliCoast #Methali #TungoTata "Mwanafunzi Hawezi Kula cha Mwalimu na Akila Hufa, Ila Mwalimu Anaweza...
2 Reactions
2 Replies
4K Views
1.MIRATHI YA HATARI 2.SAUTI YA AFRIKA SOFTI COPY AU HARD COPY. NICHEKI INBOX KAMA VIPO MAENEO YAKO AU UNAVYO
0 Reactions
0 Replies
754 Views
NJIA RAHISI YA KUWA MHASIBU BILA KUZUNGUKIA ADVANCED LEVEL. Nimeona watu wengi sana wanaulizia hii Kitu. Nikaona nidadavue kidogo ili wapate uelewa.. Endelea Kusoma hapa: KWA WATAKAOHITAJI kujua...
3 Reactions
17 Replies
18K Views
Habari wanajamii forum,Taratibu za uhamisho shule za msingi mkoa kwa mkoa zinakuwaje kwa wale wanaojua nisaidieni.
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Wakuu...nimepitia utaratibu wa kuhakiki cheti RITA ila kuna kitu kinanichanganya kuhusu kutuma hicho cheti cha kuzaliwa na hiyo risiti Ni kwamba hicho cheti cha kuzaliwa ninaenda stationery...
0 Reactions
20 Replies
6K Views
Habari wakuu Nlikua naomba kujua anything kuhusiana na kozi ya cadeth(officer) inayotolewa kule monduli yani interms of wapi nafasi au fomu zinapotolewa.inachukua muda gani wakati ukiwa kambini...
0 Reactions
0 Replies
730 Views
Mm nimuhitimu form six niliopangiwa mafunzo ya kijeshi Kwa mujibu wa sheria jkt lakini kambi hiyo Ipo mbali na ninapoishi hivyo natakakujua jinsi ntakavyobadili kambi .asanteni
1 Reactions
15 Replies
6K Views
Dear All STEP AHEAD FINANCIAL CONSULTANT inawaletea training ya Advanced Excel inayofanyika dodoma kesho 01.06.2019 na pia tunaweza wafanyia training kwa maofisi yatakayo hitaji minimum in group...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mary K Baxter - A divine revelation of hell Education is key Information is Power NB: This work is dedicated to the glory of God the Father, God the Son and God the Holy Spirit, Without Whom...
1 Reactions
2 Replies
976 Views
Habari za Wakati Ndg Wadau wa JF Mdogo wangu anaufaulu wa Division 4 point 28 ... Ni Chuo gani hapa Anaweza kusoma Kwa alama hizi katika Masomo yake Civics D History D English C Kiswahili C...
0 Reactions
6 Replies
7K Views
Back
Top Bottom