Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Nijuzeni wenye habari kuhusu udahili wa kozi za ualimu , mwaka huu hakuna au vp?
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba kujulishwa Nafasi za masomo ya ualimu ngazi ya astashahada na cheti kama tayari zimeshatangazwa au la.Na kama bado, Ni lini mlango utafunguliwa wa kuanza kufanya maombi ya nafasi hizo.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ni muitimu wa kidato Cha nne 2018,, Ufauru wangu ni CBA kweny PCB kwa huwo mfuatano,,Ila Niko njia panda wap niende ,kati ya diploma ya kozi za afya au nikasome PCB advance ,,ila shida iko kwenye...
0 Reactions
2 Replies
678 Views
Good news for Electrical Engineering students taking diploma/undergraduate degree/postgraduate degree courses. You can now access High Voltage Engineering revision questions online. The questions...
1 Reactions
0 Replies
681 Views
Japo ni chuo kikubwa na cha kisasa mno barani Afrika chuo hiki kinadharaulika mno kitaaluma. Kuna tangazo moja la kazi lilikuwa linasema kwamba.., kigezo moja wapo ili mtu aweze kupata hiyo ajira...
6 Reactions
220 Replies
24K Views
mnijuze wakuu ni chuo kipi wanachotoa bachelor degree ya maendeleo ya jamii hapa dar?
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Naomba kujuzua ni chuo gani kinatoa masters ya analytical chemistry hapa nchi na gharama zake
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wadau mimi Nimehitimu kidato cha 6 mwaka 2018 Mchepuo wa H.G.L Ufaulu wangu wa kawaida sana Nina 12 yenye "D" flat Mwaka jana nilibahatika kuchaguliwa pale Udsm course ya philosophy and...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
giv
0 Reactions
37 Replies
7K Views
Kwa wenye uelewa juu ya ishu ya kuhama mfanyakaz pasipo mshahara kuhamishwa baina ya halmashaur nje ya mkoa.Nini athari zake katika upatikanaji wa haki za kiutumishi katika halmashauri mpya na je...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Eti ukimaliza form six kipi bora kuenda jeshi au kuenda chuo kikuu?
2 Reactions
24 Replies
8K Views
Jamani hawa jamaa bado tu hawajafungu usajili wa kuomba mkopo??
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Naomba ushauri wenu Kati ya ardhi na sheria ni sector gani yenye ajira na kitengo kipi Cha ardhi chenye ajira. Please naomba ushauri wenu[emoji120][emoji120]
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau kwanza hongereni kwa kuchaguliwa. Kwa wale mnaoendlea kuapply nawatakia kila la kheri mfanikiwe. Na wale tuliochagulia certificate/ diploma kozi za afya, pamoja na wale ambao mlishawahi...
1 Reactions
31 Replies
19K Views
Kikwazo kikubwa ni hii kozi. Lengo nataka nichukue shahada ya civil engineering. Hivi kozi hii inapatikana chuo hiki? 1.Maana wengine wanasena ipo, na wengine wanasema haipo. 2.Ingawa nikiangalia...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Tafadhali mwenye kujua namna ya kuomba kujiunga na masomo ya diploma au certificate kwenye vyuo vya kilimo anisaidie. Tatizo havina websites na vyenye websites hakuna mode of application. Msaada...
0 Reactions
6 Replies
8K Views
Mimi ni mwanafunzi nasoma medical laboratory science katika chuo kikuu cha ruaha catholic(rucu) Naomba mtu wa kunifadhili masomo 0769395606 0621004002 Ata ushauri ni Masada kwangu
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa wanaotaka kujifunza zaidi ya online kupitia YouTube channel yangu ya Director chuma mnaweza kujiunga na chuo ninachofundisha bagamoyo kwa sasa karibuni sana
4 Reactions
14 Replies
6K Views
Walimu wa Tanzania ni kada inayodharauliwa sana,walimu wanaamini kuwa mchawi wa mwalimu ni mwalimu,ikimaanisha kuwa mwalimu akiwa kiongozi,huwa anawakandamiza walimu kimaslahi hata kuwa dharau...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom