Picha hii imerushwa kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram na mwandishi wa vitabu na makala mbalimbali hapa nchini ndugu Erick Shigongo. Ikiwa inaonesha mazingira magumu ya watoto hawa ambao...
Niliona tangazo la mofcom scholarship 2019 na vigezo vyao ilikuwa haioneshi kama ni mpaka uwe mtumishi uliyeajiliwa na serikali.
Nimefanya application online na kuprint hardcopy ili kupeleka...
Wakuu kwa yoyote anayeuza 'material' ya sekondari kwa masomo ya Physics, Chemistry na Biology anitumie ujumbe(PM)
Nakusanya material kwa ajili ya mdogo angu anategemea kuingia kidato cha tano...
Habari zenu watanzania
Mimi ni mhitimu wa stashahada ya ualimu wa secondari kwa masomo ya Fizikia na Hisabati
Kama kuna shule inahitaji mwalimu wa masomo hayo tuwasiliane..
+255620450069
Ahsanteni.
Natanguliza salam kwa kila member.
Hii thread itahusisha carriers ambazo zina soko la ajira hapa Tanzania pia watu ambao wapo katika hiyo field ni wachache na wanahitajika kwa miaka ya sasa pia...
Nionavyo hili limekuwa tatizo kwa Wizara inayohusika. Wanachelewa kutoa majina ya Shule na Vyuo wanakowapeleka wanafunzi wa Kidato cha Nne. Kuchelewa huku husababisha adha kubwa kwa wanafunzi na...
Nina four ya 28 nimepata alama kama ifuatavyo
Kiswahili C
English D
History D
Geography D
Bible C
civics F
Literature F
Je niende chuo gani au nisomee course gani ndugu zangu nisaidieni nipo dar...
🎓NAFASI ZA SCHOLARSHIPS KWA VIJANA WA AFRICA(TANZANIA) KUTOKA MASTERCARD FOUNDATION.
📌WANAHITAJIKA WENYE KUSOMEA FACULTIES HIZI HAPA CHINI:-
▪Faculty of Economic and Management Sciences
▪Faculty...
Habarini wakuu!! kwa yeyote aliesoma mzumbe university(main campus)husasani aliesoma bachelor of health systems management.naomba ufafanuzi juu ya faculty hii.qualifications zake,strength and its...
Habarini wakuu!! kwa yeyote aliesoma mzumbe university(main campus)husasani aliesoma bachelor of health systems management.naomba ufafanuzi juu ya faculty hii.qualifications zake,strength and its...
Wakuu nauliza hapo ni ipi masters nzuri yenye fursa na upana katika fursa kwa taasisi binafsi na zile za umma kati ya Masters of arts in Public administration (UDSM) au masters of Human resource...
Nina mdogo wangu anataka kuomba Bachelor degree mwaka huu wa masomo 2019/2020. Malengo yake baada ya kuhitimu shahada yake sio kuajiriwa ni ajiajiri je? Kati ya Bachelor in Information Technology...
Kama kuna yeyote aliyesomea open university bachelor of education teacher educator (BED-TE) na ana material please nisaidie niendelee kupitia huku nikiandaa pesa ili niweze kujitafutia mwenyewe...
Wanajukwaa la elimu. Mm ni mtumishi mwalimu katika shule ya sekondari hapa Tanzania. Naomba kufahamu namna manumuzi ya vifaa vya kujifunza na kufundishia ulivyo kwa shule za serikali. Kwa uelewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.