Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Is alibaba safe for sending large quantity of stock
0 Reactions
0 Replies
393 Views
naomba msaada kwa mwenye uzoefu na chuo cha IFM, nimeajiririwa lakini nataka kujiendeleza kielimu katika chuo kikuu cha IFM katika fani ya procurement and supply management...... swali je IFM...
0 Reactions
4 Replies
990 Views
Mimi nilitegemea kwamba wanaofaulu kwa viwango vya juu ndio wanaopaswa Kuwa na sifa za kuwafundisha wengine tofauti na hivyo anayepata div four ndio anakwenda Kuwa mwalimu. Je, yeye mwenyewe...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Habarini wadau naomba tafsiri ya hi picha hapa najua kuna wajuvi na waju...zi wa hizi. Mambo niliplani wakifungua aplication on spot ni aply na nikafanya hivo. Sasa naona tena wamefunga hamna...
0 Reactions
1 Replies
984 Views
Jamani natafta mwalimu wakunielekeza kutengeneza amplifier kwa kutumia IC aina ya TDA2030 natumainia hapa walimu wapo nisaidieni ase hata kwa malipo nipo tiyari Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wakuu kama uzi unavyosema, mfano ukachaguliwa OPEN UNIVERSITY then transfer inawezekana kweli?
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Habarini wadau naomba tafsiri ya hi picha hapa najua kuna wajuvi na waju...zi wa hizi. Mambo niliplani wakifungua aplication on spot ni aply na nikafanya hivo. Sasa naona tena wamefunga hamna...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habarini wadau naomba tafsiri ya hi picha hapa najua kuna wajuvi na waju...zi wa hizi. Mambo niliplani wakifungua aplication on spot ni aply na nikafanya hivo. Sasa naona tena wamefunga hamna...
0 Reactions
0 Replies
982 Views
Nina mdogo wangu anataka kuomba Bachelor degree mwaka huu wa masomo 2019/2020. Malengo yake baada ya kuhitimu shahada yake sio kuajiriwa ni ajiajiri je? Kati ya Bachelor in Information Technology...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Huu ni ushauri kwa walimu ... Namna gani unaweza utumia UALIMU wako kuongeza kipato na kubadilisha maisha yako? Kama mko sehemu moja mnafanya kazi jiungeni kikundi kulingana na masomo kwa mfano...
5 Reactions
16 Replies
3K Views
Nafasi za kujiunga na chuo Cha clinical officer zinatoka lini?
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habarini wakuu? Kuna dogo wangu ana certificate ya nursing anataka kwenda clinical officer. Je anaruhusiwa kubadili fani? Vigezo vipi vinatumika? Nawasilisha... Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habarii..naomba ushauri wa kozi nayoweza kuomba diploma na degree pia nilisoma Cbg Nina CDC chem,bio,geo bam S sikuweza kuomba mwaka Jana.je kozi gani nzuri naweza omba intake unayokuja..
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Guys, lets me make it simpleee!!! Nilikuwa nahitaji mtu yoyote mwenye experience, na chuo cha usimamizi wa mahakama-lushoto, anisaidie, nataka kujoin pale mwaka huu, certificate I tried to search...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwani nafasi za kujiunga na clincal officer zinatoka you?
0 Reactions
3 Replies
858 Views
Kwani nafasi za chuo Cha clinical officer zinatoka lini kwa mwaka 2019
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimemaliza kidato cha sita nikapata ESS nikaapply cheti ualimu (grade A) Je ntafika chuo kikuu kwa njia gani ?? Nifahamisheni Tafadhali [emoji120][emoji120][emoji120]
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Naomba kujuzwa jinsi ya kujiunga na vyuo kwa mtoto aliemaliza form six Uganda, kumakuwaga na taratibu tofauti na waliomaliza hapahapa au ni sawa tu, na kama kuna taratibu tofauti naomba kujuzwa...
0 Reactions
1 Replies
743 Views
Image Source: The Internet Ishapatwa kuelezwa hapo kabla... kwa nini Combi za A-Leveo Tanzania siyo nyumbufu? Mashule yangekuwa yanataja masomo yaliyoko, wanafunzi wajitengenezee kombi. Mfano...
1 Reactions
3 Replies
614 Views
Wadau naomba wenye taarifa za kutuma maombi ya ualimu yanaanza kama mada inavyosema hapo juu naomba kuwasilisha
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom