Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Sijawai itwa interview ila Leo nimeambiwa baada ya siku 3 nitaitwa interview baada ya kupitia barua zangu.. Sasa hapa sijui wanaenda Nihoji nini wakuu nijuzeni shule ni ya English medium
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Habar zenu Nina ndg yangu huko kijijin alihitimu kidato cha sita mwaka 2012 HGK na kupata history C geo E na kisw S je anaweza kusoma digrii?coz point anazo 4 na TCU wanahitaj point 4 na kuendelea...
0 Reactions
32 Replies
7K Views
Samahani wakuu najua wapo form six wengi wamemaliza na wanaendelea kumaliza elimu yao lakini hatujui tuanzie wapi mara kuomba mikopo,mara jeshi na zinginevyo. Tunaomba mwongozo kwa wakubwa zetu...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Wakuu kulingana na kichwa cha habari hapo juu nisaidieni kwa hili je inawezekana kwa mtu kusoma kuanzia certificate hadi degree ukiwa open university maana nataka nifanye hivyo nikasome law nikiwa...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Mimi afisa muuguzi msaidizi nipo Wilaya ya kilwa nahtaj wa kubadilishana naye awe wilaya mojawapo katika mikoa ya songwe,mbeya,njombe iringa na sumbawanga mawasiliano yang n 0746156986/0687976783
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habirini wakuu, Nimepanga nijiunge pale IJA, kwa ngazi ya cheti(sheria) sasa nilikuwa nahitaji maelezo kidogo kukihusu, mgafano, upatikanaji wa hostels, gharama za maisha, msuli wa pale...
0 Reactions
0 Replies
727 Views
Wakuu Habarini Za jioni poleni kwa changamoto za hapa na pale niende moja kwa moja kwenye Mada :... Nimemaliza chuo mwaka Jana fani ya education art, sikuwai kukutana na SUP wala carry. Balaa...
1 Reactions
28 Replies
2K Views
Habari ndugu zangu Niende moja kwa moja kwenye mada. Mimi nina taaluma ya uhasibu ngazi ya degree ila nimekuwa siipendi hii kazi. Nimesoma hii kozi sababu ya kukosa option kulingana na sababu...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
habari zenu. mm kijana wenu nmewaletea group link kwa wale wanajifunza/wanaobadilishana ujuzi wa Microsoft excel. https://chat.whatsapp.com/KrtYhhVjghH7V62jpkNNkT
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau kwa mwenye anajua vyuo vya Afya vilivyopo kisiwani unguja both binafsi na a serikali
0 Reactions
2 Replies
7K Views
Wapendwa wana jamii forum ninapenda sana kujifunza lugha ya ishara nina mtoto pia ambaye anashida ya kuongea hivyo naomba kwa yeyote mwenye uelewa wa lugha hii anipe mwongozo ili mm na mwanangu...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Salaam wadau! Baada ya kuona ajira hazieleweki kwenye utawala huu wa jiwe Nimeamua nijifunze ujasiliamali wa kupika keki kuzipamba na kuziuza katika sherehe mbalimbali Pia Nina interest sana...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naomba kujua je! Chuo cha mMlimani City kinapokea A level wanaorudia?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
*By Prof Kamuzora RAS Kagera:* Tatizo lile lile nililolisema awali. Falsafa ya Elimu yetu ni kuwa watu wanasomea taifa na si kusomea maisha yao. Hivyo, wote mnaingizwa kwenye behewa kuelekea...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Chuo kimesajiliwa na Veta.Kinafundisha kozi za IT,BOA,HOTEl,NURSER TEACHING,CLEARING AND FORWADING,PROCUREMENT AND CHAIN MANAGEMENT n.k.Sifa ni kuanzia darasa la saba na kuendelea.Kwa wale...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Salaam kwenu wanajamvi...kuna mdogo wangu amepangiwa wilaya kibaha shule ya msingi MAHUNDI..napenda kujua umbali wake kutoka kibaha mjini na mazingira yake kiujumla.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
msaada jamani natafuta shule advance comb egm nna dv 3 ya 22 ada kuanzia m1.5---1.8 iwe dar mix board
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Msaada kwa makampuni yanayohusika na miundo mbinu ya maji na umwagiliaji,hapa Tanzania kwa anayeyafahamu nataka nikufanyie field please help me!!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari za Wakati wadau wote wajukwaa la ELIMU... Kama wasemavyo WADAU mbalimbali wa elimu na maswala ya kimafanikio Elimu au ujuzi mwingi Umejificha ndani ya vitabu Kwakulijua Hilo nawaletea...
0 Reactions
0 Replies
951 Views
Jamani samahani wanajamvi, naomba kuuliza eti usajiri wa wanafunzi wapya CHUO CHA UWALIMU MARANGU kwa mwaka kwa mwaka 2019/2020 unafanyika Mwezi wa ngapi?? Maana nmefuatilia Sana kwenye tovuti yao...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Back
Top Bottom