Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Hii ni moja ya Taasisi muhimu sana katika kuzalisha mahandisi wazuri na wanaosifika Nchini na Ukanda wetu. Sifa hii ya taasisi ipo mbioni kupotea kama hakuna hatua za wazi hazitachukuliwa juu ya...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
tusaidiane wana jf
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Habari za siku ndugu Well naulizia kama kuna chuo chochote hapa TZ ambacho kinatoa masters ya course tajwa hapo juu na ada yake kwa ujumla Sio mbaya pia kama mkanisaidia kunijuza kama kuna chuo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari, Ndugu Wanajukwaa Kwa Yeyote Mwenye Uelewa\ufahamu Na Mawasiliano Ya Shule Ya Sangu Sec Jijini Mbeya, Performance Ya A-level, Maisha Kiujumla Kwa Mwanafunzi Pamoja Na Ada Ahsanten
0 Reactions
28 Replies
5K Views
Habari, Kwa mujibu wa ratiba ya necta, Maombi yanataanza kutumwa kuanzia 15/5 kwa mwaka wa masomo 2019/2020, Hivyo kwa wenzangu tuliopanga kutuma maombi kwa kada tofaouti tofauti kama vile...
1 Reactions
0 Replies
710 Views
Habarini wanJf! Ukitafakari kwa makini walimu wa digrii waliotelekezwa na serikali wengi wao wamesomeshwa kwa kodi za wanachi maskini, kitu chakushangaza ni kwamba serikali imetumia hela nyingi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamani Anayeweza Ku Root Itel S42 Anisadie Nitapa Hata Kitu Kidogo
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau naomba msaada wa. Mawazo .nataka kufungua nursery school...je mahtaji muhimu ya ndani ni yepi? Nataka iwe standard
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mimi ni kijana niliemaliza kidatobcha nne mwaka 2017 kwa matokeo haya DIV IV 26 Civics C English C Kiswahili C Goegraph D History D Biology D Math F Sasa nilikuwa nauliza ipi imekaa njema kati...
0 Reactions
6 Replies
954 Views
Waalimu nipeni uzoefu juu ya hii kozi ya kuchukua shahada ya ualimu special needs, je unachukua teaching subjects kama waalimu wengine mfano Geography au chemistry? Pia ufundishaji unajikita kwa...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Habarini wadau katika Elimu! Naomba kuwasilisha kwenu kitabu kipya cha English Language 1 kwa vijana wetu wa Kidato cha tano na sita hasa kwa wenye michepuo ya sanaa (HKL na HGL). Ni kitabu...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
...samahanini wadau wenye uelewa wa hii course inaitwa geomatics(land surveying) inapatikana ardhi university..nataka kujua kama ina soko katika ajira maana nategemea kusoma hio course..naomba...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wakuu habari za asubuhi? Ni matumaini yangu kua mnaendelea vema, ningependa kama kuna yeyote anaejua au aliye kwenye kundi la walimu wa geography aniunganishe huko 0759160780 Asante
0 Reactions
0 Replies
635 Views
Habari wakuu, naomba mwenye link ya majina ya waliochaguliwa kujiunga kidato cha tano nasikia yametoka. Shukran
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kunauwezekano kwa mtu mwenye division IV ya 26 kwenda kusoma kidato cha tano kama atakuwa na credit y aani Ana c3 d3 na f1? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Habari wanajamvi, Naomba kwa anayepafahamu Lekemberia Rombo, Mazingira yakoje,shughuli kubwa pale no Pia nataka kujua kama naweza kubadilishana kituo cha kazi Mara baada ya kukamilisha usajiri
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wakuu... Nina mtoto wangu wa kiume amemaliza form four mwaka 2015 ,bahati mbaya matokeo yake hayakuwa mazuri .. Kwa mwaka mzima tumekaa nae ndani akiwa hajui aamue afanye nn Lakin kama...
2 Reactions
35 Replies
31K Views
Nimepangiwa shule ya sekondari ndala iliopo halimashauri ya shinyanga mc anaye ifaham naomba anifahamishe kama kuna nyumba za waalim , nyumba za kupanga karbu na shule , umbali toka shinyanga...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari wadau.. Nina ndugu yangu anataka asome Diploma ya Pharmacy/CO.. Mwakahuu.. Je Application zinaanza lini.. Pia Naomba na taarifa zingine za Muhimu ikibidi! Asanteni!
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom