Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Mtoto rafiki yangu alisoma kwao Ghana, alifaulu vuzuri six form na sasa amepata nafasi ya kusomea u daktari Ulaya. Kutokana na unafuu wa ada amempeleka Poland na ana mudu kumljpia ingawa rafiki...
2 Reactions
0 Replies
736 Views
Habari wanajf, Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa 3 chuo cha sokoine SUA. Nasoma ualimu wa geography and mathematics. Nimepitia mengi toka mwaka wa 1 nikipata GPA 3-3.8, nimesoma kwa njia za...
3 Reactions
75 Replies
13K Views
Je wajua tofauti ya matokeo ya kidato cha nne kati ya hizi shule mbile za juu zaidi tanzania Pata uchambuzi hapa - St Francis - St. Francis Girls Secondary School information and analysis...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Hi to you all ladies and Gentlemen, ni imani yangu kua mpo salama kabisa, Niende moja kwa moja kwenye haja/hitaji Naamini hapa jukwaani wapo wataalam mbalimbali wenye kuyajua mengi, sasa kwa wale...
1 Reactions
2 Replies
805 Views
nimeikumbuka sanaa hii shule ni sehem yangu ya kujifunzia nlipopapenda sana..nakumbuka mengi sana na ujuzi wote na ujanja wote nilionao nimeupatia pale technical....nafikiri ni bonge la shule apa...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Wanabodi salaam, Naomba ufafanuzi Masters' Degree by thesis ni kitu gani...na je inakupa uhuru kiasi gani katika kuisoma ukilinganisha na ile ya thesis...na je mhusika anatakiwa kuhudhuria...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Shikamooni wakubwa zangu humu JF. Siku ya juzi nilionana na rafiki yangu wa muda mrefu sana ambaye ni mtumishi pale NBAA (bodi ya wahasibu na wakaguzi wa mahesabu) pia ni mwalimu wa masomo ya...
2 Reactions
66 Replies
13K Views
Habri zenu wadau wa elimu........ wale walimu na wadau wengine wa elimu naomba wachangie tofauti ya kufundisha na kutafsiri notes ili kuwa update walimu na kuongeza ufanisi katika masaala mazima...
3 Reactions
48 Replies
3K Views
Habari wadau wa Elimu, Poleni na majukumu yenu, Naomba mwenye Scrpit ya Mock 2019, Eastern Zone body (EZEB) Kwa mikoa Ya Dar es salam na Pwani - Moro Naomba sana niitumie na mm ni solve
0 Reactions
0 Replies
616 Views
Kwa wale waliomaliza chuo au form six wana matokeo mazuri kuna scholarship uwa zinatolewa na PSC hapa TZ kila mwaka mnaweza check nao. Au waweza mcontact huyu kwa maelezo zaidi jihao8009@gmail.com...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakati mwigine tunaandika mambo ya kuwaelmisha watu halafu mnazuia kwa nini. Kumbukeni bila sisi mmh
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari jf,napenda kuuliza ni course zipi ngazi ya certificate & diploma anaweza soma mtu mwenye matokeo ya kdato4 2018 kama HISTORY D,LANGUAGE C,KISWAHILI C,BIOLOGY D,MATHEMATICS F,CHEMISTRY...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Natafuta shule ya private ya kufundisha somo LA chemistry na biology , kujitolea wao wanipe malazi na chakula tu
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna ukweli juu ya hili wana JF?
0 Reactions
0 Replies
735 Views
Mnisaidie wana jamii wa tangu kipindi kile!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habarini za muda huu wakuu. Samahani, kama kuna mtu aliyewahi kufanya aina hii ya English Test (IELTS). Tafadhali naomba unicheki PM au kwa Whatsapp No. +255756571886. [emoji120][emoji120]
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Samahani, naomba kufahamu namna ya ku block zile ads za google ambazo huwa zinatokea kwenye either website au applications kwenye smartphones. Ahsante
0 Reactions
0 Replies
698 Views
Naomba kuelekezwa kirefu juu ya haya maneno kwa kiswahili SENDER___MESSAGE___ENCODING__MEDIA__DECODING__RECEIVER__FEEDBACK__NOISE
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari wakuu, naiona pasaka ndiyo hiyo ina ishia ishia...! Naomba kujulishwa je, naweza kwenda TCU nika fanyiwa EQUIVALENT katika CREDITS zangu baada ya kumaliza chuo? Nimesoma chuo kimoja hivi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naitwa Johnson John Siame, nipo mkoa wa Kilimanjaro, wilaya ya Moshi mjini, nina wazo la kuanzisha shule ya awali, ila naitaji watu walio serious kufanikisha wazo hili, nipigie 0744757738
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Back
Top Bottom