Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Wana JF ningependa kuuliza kuhusiana na kozi ya Mechanical Engineering kwa yeyote mwenywe uelewa na kozi hii Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu Mimi ninajua kutengeneza databases/mfumo wowote ule kwa kutumia ms access kinachonishida ni kupiga codes za kutengeneza login form . Ili mtu awe ana login and out kwenye mfumo. Naomba...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Wakuu, poleni na kazi, Mimi ni mpenzi sana wa kusoma vitabu non fiction, nasikia kuna namna unaweza kupata vitabu na kudownload kwenye simu yako na ukawa unasoma kwa kutumia PDF reader, je ni vipi...
0 Reactions
10 Replies
7K Views
Habari wakuu, naomba kupata ufahamu wa jinsi rating ya vyeti unavyofanyika kwa mtu aliyesoma secondary nje ya nchi. Pia unawezaje kujiunga na kidato cha tano shule ya serikali?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Chuo kikuu cha dar es salaam kinatoa kozi mbali mbali ambazo ki ukweli quality yake ni ya juu sana kwa sababu pia wakufunzi wake wamesoma vyuo vikubwa na maarufu duniani. Elimu ni ile ile tu hata...
7 Reactions
116 Replies
12K Views
Naomba kuuliza waungwana kama kuna uwezekano wa mtu aliyesoma bachelor of science with education(chemistry and biology) kujiendeleza masters kwa kuchukua maswala ya udaktari au pharmacy.
1 Reactions
16 Replies
7K Views
Habari, Kwa yeyote mwenye kufahamu ni Kwa lini dirisha la maombi kwa ngazi ya cheti na diploma kwa mwaka wa masomo 2019/2020 anisaidie Thanks in advance
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Naamini hapa Kuna kila aina ya wataalamu naombeni unipe maswali yanayotoka sana NECTA ni solve mtihani umekaribia lkn naona na hali ngumu nitaleta mrejesho kwa wale wataonipa maswali Sent using...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
TAARIFA KWA UMMA TANGAZO LA MAFUNZO YA KILIMO NCHINI ISRAEL UTANGULIZI Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki inatangaza...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wana jf, nmehitimu kidato cha nne, nataka nkasome Economics ngazi ya certificate, je ni chuo gan kinachotoa kozi hyo. Pia inawwzekana nkasoma microfinance management diploma then nkifka...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wakuu habarini? Naombeni msaada kwa mwenye kujua namna ya kujaza combination na kuchagua shule upya kwa waliomaliza form four last year 2018 kama alivyotangaza Waziri Jaffo.
0 Reactions
11 Replies
15K Views
Habari wana jamii. Katika shule za Sekondari za hapa nchini kunafundishwa masomo mengi tu na masomo hayo yamegawanyika katika makundi makuu Sita. Yaani: 1. Masomo ya Science - Physics -...
3 Reactions
5 Replies
6K Views
Wasalaam, (Naomba nirekebishe kichwa cha habari, kisomeke kwa wale wenye pointi 3 hadi 8 pcm/pcb katika csee ya 2018). Kwanza niwapongeze ninyi mliosoma na kufaulu sayansi( FIZIKIA NA KEMIA)...
10 Reactions
25 Replies
8K Views
Wakuuu habari zenu na pole na majukum,Mimi ni mtumishi mwalimu nimesoma Bachelor Degree in Adult Education and Community Development. Ndugu zangu AFISA UTUMISHI NIMEMUANDIKIA BARUA ANIHAMISHIE...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Naomba mnisaidie examiners ' report za mwaka 2018
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nisaidieni jamani kuna madhara yoyote nisipo fanya registration semester ya pili chuoni
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Ni Mhadhiri ambaye pia ni ( Associate Professor ) kutoka nchini Uingereza ambaye yupo kwa ‘ Program ‘ maalum ya Kufundisha Somo moja katika Chuo Kikuu ( nakihifadhi ) hapa nchini Tanzania hasa...
5 Reactions
109 Replies
15K Views
Habari wana jamvi? Nimefanya kautafiti fulani juu ya ongezeko la vituo vya kufundishia wanafunzi ambao wanarudi amitihani ya kidato cha nne (CSEE) pamoja na wale wa maarifa (QT). Kitu kikubwa cha...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habarini Wajuvi naomba kufahamishwa chuo kinachofundisha adobe, nataka niisome adobe in deep,
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu.. sera ya elimu kupitiwa upya. je wewe unahisi kutakuwa na mabadiliko gani? karibu tuzungumze. chanzo cha habari: Dira TV
0 Reactions
2 Replies
825 Views
Back
Top Bottom