Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Kwangu mimi napenda kuwashauri wadogo zangu kwa walio soma HKL, KLF au HGL apply UDOM uje usome Bachelor degree in Chinese kwasababu hii course now ina soko sana sema tatizo watu wengi sana...
1 Reactions
10 Replies
6K Views
UJUMBE WA TANO. Na Saidi Mbondela. Ankara/Turkey 13/04/19. Habari, Ujumbe wangu wa leo utakua unakamilisha awamu ya kwanza ya jumbe zangu kwa vijana. Awamu hii nilijikita kutoa maelekezo...
0 Reactions
2 Replies
820 Views
Habari,Nimesikitika sana kuona mwanafunzi wa form three hawezi kuchora ramani ya Africa Mashariki na wala hajui Kenya, Rwanda au Burundi ziko sehem gani ktk Ramani. Hata uandishi wa Essay tu ni...
5 Reactions
160 Replies
15K Views
Hivi kunywa nini haswaaaa Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
18 Replies
2K Views
NAOMBA kuuliza, kuna chuo Cha maji kingine hapa Tanzania tofauti na kile cha ubungo maji DAR es salaam?? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Katika ajira zilizotangazwa Walimu wa secondary watakao ajiriwa ni 1374.Na kipaumbele ni waalimu wenye mahitaji maalumu na waliosomea elimu maalumu. We think too small, like the frog at the...
1 Reactions
32 Replies
7K Views
Habarini. Tanzania has how many constitution edition since independence? Kwa mwenye kujua hili swali naomba anijuze..
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Naombeni ushauri wakuu.. Nimepata scholarship ya kwenda kusoma China kwenye province mbili tofauti na nimepata course hizo mbili nahitaji kuconfirm kwenda course moja kati ya hizo (Biomedical...
1 Reactions
6 Replies
4K Views
Spreading the News Human beings have always been curious about the world around them, and anxious to know about events that will have an impact on their lives. For most of human...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Salaam kwenu wakuu!! Niwakaribishe wote tujadili swali hili kwa pamoja Wewe kama msomi uliyefikia level fulani ya elimu, je unatumiaje elimu yako ya shahada,stashahada kuchangamana na watu wa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau habari zenu jamani ninayo admission letter ya kusoma masters yangu chuo kimoja hapa nchini nili apply mwaka huu ila hata mwakani naweza soma mana huwa ina expire ndani ya miaka miwili...
0 Reactions
71 Replies
10K Views
wanajukwaa nilikuwa naomba kuuliza kwa anae fahamu kamera aina ya canon d20 inauwezo wa kuchukua video Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
453 Views
Jaman naomba munisaidie ninahitaji scholarship na sponsor nitafanyaje Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Now a days its a common trend that most of student are doing IT Certifications in different fields. They find difficulty to pass certifications exams because they dont pay attentions on study so...
0 Reactions
0 Replies
433 Views
When in the sun the hot red acres smoulder Down where the sweating gang its labour plies A girl flings down her hoe, and from her shoulder Unslings her child tormented by flies. She takes him to...
0 Reactions
3 Replies
934 Views
Habari wandugu, naomba mwenye kujua chuo cha ualimu wa shule za awali ambacho kina ada nafuu boarding anijulishe tafadhali. kiwe mkoa wa Dar es salaam au mikoa ya jirani. shukran.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuuu heshima yenu.. Sijui lolote kuhusu kitu kinaitwa function katika hesabu. Anyone to make me know it briefly. Thanks. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Control number ni ipi hiyo jamani wanayoitaka ukiwa ukiwa unafanya malipo ya awali ya passport (Hati ya Kusafiria) kupitia MPESA. Unaipata wapi?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kuna watu wengi ambao wana mitizamo tofauti kuhusu elimu yetu. Wako wanaosema elimu yetu imeshuka viwango na wako pia wanosema imepanda na kila mtu anatoa sababu zake. Kinachochangia elimu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani mimi na elimu ya kawaida ila pia najishughulisha na ku repair simu, redio na tv, na vitu vingine vya umeme kama hivyo. Ila na ndoto yangu kubwa ninayoiwazaga kila siku na nipo tiyari kwa...
0 Reactions
4 Replies
882 Views
Back
Top Bottom