Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Jamani kama kuna mtu anaweza kunisaida jinsi ya kupata vitabu tajwa hapo juu kwa njia yoyote ile ikiwa ni link au wewe mwenyewe kama unavyo naomba msaada wako. Wenu katika ujenzi wa taifa letu ili...
0 Reactions
21 Replies
14K Views
INTERVIEW QUESTIONS AND ANSWERS ( SAFETY FIRST ) 1. What is Fire? Ans: Fire is a chemical chain reaction, were required three elements (1) Heat (2) Oxygen (3) Fuel. 2. How many types of fire...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu Wale Wote Tuliowahi Kusoma Lwandai High Schoo, Mlalo, Kushoto, Tanga Tukutane Hapa, Tukumbushane Walimu Kama Mwinuka, Kavishe, Mweta Mkubwa na Mdogo, Kuna Mwalimu alikuwa anatufundisha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mwenye notes au soft copy au anaye pajua sehemu zinzo uzwa kitabu cha general chemistry cha ngaiza kwa morogoro maana nimeenda kwenye page yao ya facebook nimewatumia message hawanijibu. Naombeni...
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Naomba kujua kati ya journalism na mass communication ni kozi ipi nzuri zaidi maana zinaendana kwa kiasi fulani. i wanna take degree on one of...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Elimu juu ya uongozi. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwa wataalamu mnaofahamu mambo ya mipangilio ya vyeti vya NBAA, je? ni cheti gani cha Bodi ya Taifa ya wahasibu na wakaguzi ,yaani NBAA kinacholingana na Postgraduate diploma in accountancy, PGDA...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Napenda kuwasalimu wanajukwaa,natumai tunaendelea vizuri katika shughuli za kulijenga taifa letu tukufu la Tanzania. Niende moja kwa moja kwenye swali,ningependa kufafanuliwa qualification za...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Hiyo habari ndiyo iliyopewa uzito kwenye hili gazeti la JIJI. Je walimu mmekumbukwa?? Au ni mwendelezo wa propaganda uchwara zinazoenezwa na magazeti haya uchwara yasiyo kuwa na wahariri wabobezi...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Waungwana naomba kujulishwa. Kuna chuo fulani kuliendesha masomo ya diploma kabla ya masharti yale ya D 4 ukitoa ya dini ama walikuwa wanawachukua tuuu wanafunzi mwenye alama zozote ili chuo...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Hello English teachers let's share our skills, any one with an experience on how to teach tenses, for a zero level beginner, what to start with? Give your views basing on your teaching experience...
0 Reactions
68 Replies
5K Views
Prof Msofe ni jembe sana na msaada sana kwa wanafunzi hasa undergraduate wanamjua sana na naona hiyo kamati iliyomchagua imeaona mbali, bravo. APPOINTMENT OF DEPUTY VICE CHANCELLORS OF THE...
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Wakuu naomben mwenye info kuhusu ajira za watu wanaomaliza bachelor of medical lab in histotechology
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari za saa hizi wana JF ....Mimi ni kijana Wa miaka 26 nimemaliza diploma ya kozi tajwa hapo juu. Natafuta ajira (kazi) kwa sasa ila nashindwa kuelewa ni Makampuni gani yanayoajiri watu wa...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wakuu naomba matokeo ya darasa la Saba ya mwaka 2012 kwa shule ya msingi Itizi iliyopo Mbeya vijijini
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mwenye notes au soft copy au anaye pajua sehemu zinzo uzwa kitabu cha general chemistry cha ngaiza kwa morogoro maana nimeenda kwenye page yao ya facebook nimewatumia message hawanijibu. Naombeni...
0 Reactions
0 Replies
10K Views
Hv chuo kipi kati ya DIT na ATC ambacho kipo vzuri kweny Mechanical Engineering Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Samani wakuu, naitaji past papers za mitihani ya Moko kuanzia mwaka 2005 mpaka 2018 za olevel, nimeambiwa zinamaswali mazuri ya kujipima. Tafadhari mwenye kujua namna yoyote ya kuzipata msaada...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
KILELE CHA KONGAMANO LA UPANDAJI MITI ni tarehe 18 /4 /2019 MKABALA NA KITUO CHA MAMLAKA YA MAJI SAFI MOROGORO lengo kuu ni kutunza vyanzo vya maji na kuhifadhi mazingira kama jitihada za...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Salaam.... Naamini muwazima wa afya wana JF na mnaendelea vyema na majukumu yenu ya kila siku kwa mlioenda kanisani leo Mungu awabariki sana na awape moyo mkuu wenye kumtumainia yeye siku...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Back
Top Bottom