Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Nini maana ya wadhifa wa heshima? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
707 Views
Chuo cha QBSCL ni chuo kilichosajiliwa na VETA kutoa mafunzo mbalimbali Kama vile ICT, Business Operation Assistance (BOA) na Nyingine nyingi. Kwa mawasiliano zaidi 0715220199 na 0786220799 au...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna utatatibu wa darasa LA saba kusoma masomo ya biashara? Chuo kiko wapi hasa hapa dar ? au eneo LA kariakoo chuo binafsi? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
908 Views
Habari za majukumu wapendwa. Kama kichwa kinavyosema Nina laptop yangu hapa aina ya Toshiba Inaendeshwa kwa window 10.na inakamera kwa mbele. Sasa nilikua ninaitaji niwe naongea na na watu...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Mbunge wa viti maalumu, Aida khenani (CHADEMA), ameitaka serikali kulieleza bunge kwanini haitoi ajira kwa vijana waliohitimu katika vyuo mbali mbali vya elimu nchini. Akichangia bungeni mjini...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Nimepata matokeo aya ,geograph C,civics C,history C,kiswahili C,english C,biology C,chemistry D,physics,D,math F jumla na 3 ya kwanza 22 .na malengo yangu ilikua ni PCB au CBG ingawa kwa bahati...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Kijana mwenzangu ulieko chuo chochote Tanzania hii kuanzia certificate, diploma, degree hata masters kama uliunga hebu leo tuzungumze kwa kina. Ewe kijana mwenye level yeyote hapo juu unakuta...
31 Reactions
65 Replies
12K Views
habari wanajukwaa, poleni na majukumu ya hapa na pale, natumaini nyote mu wazima wa afya. naomba msaada wa kupata shule nzuri ya private au chuo kwa matokeo haya ya kidato cha nne matokeo ni div...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
Kwa mtaalam wa economics naomba kujua kuhusu Explanation about any 5 SCHOOL OF THOUGHT OF ENTREPRENEURSHIP Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
2 Replies
852 Views
Wana JF naomba msaada hv ni chuo gan kikuu naweza kusomea RECORD MANAGEMENT baada ya fm six??ukiachana na vyuo vya utumishi wa umma??msaada kwa mwenye anajua..![emoji120] Sent from my iPhone...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Ndugu wana jumuiya wa chuo cha kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere na wadau wote wanaohusika,kumekuwa na habari ya upotoshaji iliyotolewa na mtu anayeitwa Abdul Omary Nondo kwamba chuo cha kumbukumbu ya...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Kuna changamoto imetokea kwa wanafunzi wa chuo cha Mwalimu Nyerere, wanafunzi wa wa certificate na Diploma kuhusu matokeo yao. Tangu 2017 na 2018 wanafunzi wa NTA levels 4 na 5 wamekuwa...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Shukrani sana wizara ya elimu .Wizara kwa ukweli ni wizara imara sana kwa upande wangu ,mbali na changamoto zingine katika shule na vyuo vyetu .Ni wizara ambayo ikipata malalamiko ya wanafunzi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Salaam Wadau, Natumaini Mwenyenzi Mungu anawafanyia wepesi katika uhitaji wenu wa kila siku! Ninauhitaji Mkubwa wa Kupata Elimu Kiutendaji katika Kazi/Biashara ya Copper Cathodes hasa kwa wale...
0 Reactions
2 Replies
936 Views
Nimewaona wanafunzi wa Kantalamba na shule nyingine wakifanyishwa siasa. Wamevalishwa uniform na kufanya kile kinachoitwa kumzuia Rais. Waandaaji wa shughuli ile wamechemka kweli kweli. Leo...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Mwenye notes za general chemistry za ngaiza ziwe soft copy au kitabu au anayejua wapi vinapatikana kwa morogoro naomba anisaidie na shida nacho asante sana Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
10 Replies
8K Views
Hello English teachers let's share our teaching skills, any one with an experience on how to teach tenses, for a zero level beginner, what to start with? Give your views basing on your teaching...
0 Reactions
0 Replies
604 Views
Wakuu, msaidieni huyu dogo, anataka kwenda kusomea taaluma niliotaja na kisha afungue maabara yake. Mpeni Ushauri kulinana na ngazi anayotaka. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Why I Believe That Capitalism Is Not Working Well for Most Americans Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
561 Views
Back
Top Bottom