Hivi mwaka huu wa 2019 kunavigezo gani vya kuchukua wanafunzi kujiunga kidato cha kwanza? Maana Nina kijana wangu ana D3 na C1 na B moja na jina lake halikutoka sasa hivi wanadai anadaiwa...
Yule kijana alieongoza matokeo ya elimu ya kidato cha nne
amesema kupitia mtanzania gazeti kwamba mpaka sasa aoni umuhimu wa yeye kama mwanafunzi ama
wanafunzi wenzake kujiunga na neno...
Jmn kwa wakubwa mliontangulia naomb mnisaidie nna. Physics D ,Chemistry D,Biology C ,Math F je in college ip ya serikal naweza kusoma medical laboratory
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nmesomea ualimu nmehitimu 2016 chuo kikuu kimoja hivi hapa nchin.Nmesoma ELIMU MAALUM sasa kaka yangu alikuwa na vyeti vyangu (softcopy)wakat wanatangaza ajira aliniandikia barua na kuapply...
Habari zenu wanajukwaa
Kunahabari zimeenea hivi karibuni kuwa kuanzia 2019 form 6 watafanya mitihani yao mwezi wa pili(February) badala ya kufanya mwezi wa 5(May) kama wanavyofanya sasa...
Naomba...
Habari za Leo wanajamii forum? Naomba mwenye kujua chuo cha ualimu kinachotoa cheti cha elimu maalumu tukikiondoa chuo cha pandandi Arusha je kuna chuo kingine? Naomba mwenye kujua unaweza kunipa...
Hello,,,
kwa wale walliopo hapa Tanzania, natafuta panya weupe wa maabara (laboratory mice) kama utakuwa nao plzz wasiliana nami kupitia 0689773106.
For those who available in Tanzania, I need...
Napendekeza serikali isimamishe udahili wa waalimu katika vyuo vyote kwa ngazi zote kwa miaka 5 ili kutoa nafasi kwa hawa waliopo (91,000) kuja kupata nafasi ya kuajiriwa na kutumikia taaluma zao...
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,Prof.Rwekaza Sympho Mukandala amefanya kufuru kimatumizi UDSM.Katika safari yake ya kutembelea Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu cha Mkwawa Iringa...
Nimemaliza kidato cha NNE mwaka Jana na kupata div 2 na kwa sasa Nina matatizo kiafya sisikii vzuri niende chuo cha afya au niende advance ushauri tafadhalu
Mimi hii sitaisahau kamwe..
Biology is the study of living things.
NOTE:
=====
Kuna definition zingine ngumu sana sana kumeza ila kwangu hiyo niliionea.
Kuna jamaa yangu alitumia siku 3 kukalili...
Nimemaliza kidato cha NNE mwaka Jana na kupata div 2 na kwa sasa Nina matatizo kiafya sisikii vzuri niende chuo cha afya au niende advance ushauri tafadhalu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.