Habarini wana JF, naombeni kujua Balaza linalosimamia elimu ya ufundi Tanzania Nacte huchukua muda gani adi kuja kuzitoa Academic transcript?
msaada wenu jamani
Yule mwalimu bora wa History na Geography aliyezunguka mikoa mingi ikiwemo mikoa ya kanda ya ziwa sasa amerejea katika jiji la Dar-es-salaam ili kuwasaidia wanafunzi wa o-level na advance.
Kwa...
Takribani mwezi mmoja na nusu uliopita serikali kupitia wizara ya OR-TAMISEMI ilitangaza ajira kwa walimu wa ngazi ya msingi na sekondari 4549. Ambapo kwa mujibu wa katibu mkuu-Tamisemi...
Habari wakuu! Mimi ni mwanafunzi wa last year, diploma in mechanical engineering, ninahitaji kusoma degree ya automobile baada ya kumaliza diploma.. Je, ni chuo gani kizuri hapa East Africa...
wapendwa wana jamii forum salaam
hivi majuzi tulishuhudia uzinduzi wa maktaba mtandao uliofanywa na taasis ya elimu tanzania (TIE),moyoni nikajua kwa mbwembwe zile basi mambo mengi watakuwa...
Heshima kwenu wanajamvi, mara nyingi humu jukwaani tumesikia udsm wanachukua wanafunzi wenye viwango vizuri vya ufauru kidato cha sita lakini je inakuwaje hao hao wanafunzi wanadisco?
HIZI NI...
Kwa ufupi
Halmashauri ya Kisarawe inatarajia kuanza ujenzi wa shule ya bweni ya wasichana baada ya harambee tokomeza zero iliyofanyika Machi 30
Kisarawe. Halmashauri ya Kisarawe inatarajia...
HABARI WAKUU!
KWA WALE WATAALAMU WA MASOMO YA BIASHARA NA BANKERS NA NBAA AU NBMM PROFESSIONAL NAOMBA MTOE MICHANGO YENU KUHUSU HIYO TAASISI TAJWA NA CERTIFICATION ZAKE KAMA VILE UNAVYOJUA AU...
HABARI WAKUU!
Kama nilivyoandika kichwa hapo juu naomba msaada kwa watu ambao wameshajiunga Research na ku publish article naomba mnisaidie email zenu, maana mimi ni independent sina affiliation...
habari wakuu
mwaka huu najiandaa kuingia kidato cha tano nmekua nikifatilia masomo ya advance notes,papers na hata results za waliotangulia lkn naona somo la GS watu huwa hawafaulu unakuta ata T.O...
habari wakuu
nahitaji kujua kitabu kitakacho niwezesha kutoboa phy ya advance maana nmepita thread moja humu nimesikia moto wake chand tayar ninacho nahitaji niongeze ata viwil vya phy mapema
habari wanajamvi,
hii mada nimeamua kuileta kwenu maana naona kama imekua gumzo huku na kule,
hasa ukimkuta kijana wa zamani alie pata elimu huwa na kasumba za kuwananga (kuwabeza) vijana wa sasa...
Wadau!
Napenda kujua kama ukiwa na CPA au Certification yoyote kama CCNA, CCNP au CISA unaweza kunaweza kuqualify kujiunga na masters kwa case hauna degree ya kwanza?
habari zenu wakuu nadhan mmesikia taarifa juu ya ujazaji upya Wa 4m za selform kwa wanafunzi Wa kidato cha nne kulingana na matokeo yako mm katika komb ya pcm nna
phy-c
chem-B
b/math-B...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.