Kwanza kabisa nianze kwa kuwapongeza chuo kikuu mzumbe hasa tawi la Mbeya mko vizuri sana katika kutoa elimu ya juu kwa watanzania...
Mimi nimechunguza mda mrefu kwa mkoa wa mbeya katika vyuo...
Kuna tetesi kwamba mwanafunzi wa kike aishiye Mabibo hostel kauawa na mpenzi wake kwa kuchomwa kisu usiku huu.
Inadaiwa pia mtuhumiwa wa mauaji hayo kapigwa sana na wanafunzi wenzie. Ka inzi huko...
Wana jf naomba ushauli mimi ninasoma HKL advance na nipo form six natesemea kuhitim hivi punde ni course gan nikasome chuo ambayo kidogo inamanufaa??kwa HKL??
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ukipata zero ya 35 means umepata F zote. Kama ulikua unasoma masomo 7 (NECTA minimun requirement) means una F 7. Hizo F 7 maana yake ni Form Four Fighting For Food For Four Years. Hiyo ndio ZERO...
Naombeni kujua sifa za muombaji wa clinical officer na pia vyuo vizuri kwa kutoa course hiyo, pia naulzia NACTE wanaweza fungua udahil tena mpaka lini? Mimi nilikuwa Dodoma special dip baada ya...
Natamani kuwa mfanyabiashara nakusomea ila paka saiv sijui Nita apply nisome course gan chuo maana nimehitimu kidato cha NNE 2018 Nina dv3 ya22 Nina credit masomo yote but pass ya math na physics...
Wakuu, nimeona taarifa kutoka TAMISEMI ya kusitisha zoezi la uhamisho kwa muda, je! Hii inahusu hadi ule uhamisho wa ndani ya mkoa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ndiyo habari kubwa iliyoandikwa katika gazeti la habari leo 28 march, 2019
Nadhani hii ni habari njema kwa wahusika walioomba kuanza kujipanga kisaikolojia kwa lolote.
Sent using my infinix...
Hizi ndizo shule Tanzania ambazo zinafundisha kwa kutumia mitaala ya Nje ya nchi.
Kwa kifupi hizi ndizo International Schools. Hizo nyingine zote ni ENGLISH MEDIUM SCHOOLS ukiacha hizi Tulizo...
Wakuu, ningependa kujua opportunities zinazoweza kupatikana kwa course ya Pharmacy/ MD na ungenishauri nisome ipi ikitokea nikapata nafasi kwa course zote mbili?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ainingii kichwani kuambiwa vyeti vimepotea jamani naombeni ushauli nilisoma chuo cha ucc tawi la mbez beach kozi ya recordmanagement nikaitimu mwaka 2012 cha kushangaza vyeti hadi leo atujapewa...
Je kuna ukweli kua mtu akienda Baraza la mitihani la Taifa kuomba cheti chake baada ya kupata result sleep anaweza kupewa? Kabla havijafika katika shule aliyofanyia mitihani? Naomba majibu kwa...
matokeo yang n
civ-C
hist-B
geo-C
eng-C
chem-B
phy-C
b/math-B
add/math-C
kisw-A
bios-B
ckujaza comb ya art na chaguo lang LA kwa kwanza n pcm ndio maana nikasoma additional mathematics ila io A...
Chinese Government Scholarship-Chinese University Program is a full scholarship for designated Chinese universities to recruit outstanding international students for graduate studies in China...
About Mount Rungwe Nature Forest Reserve
Mount Rungwe Nature Forest Reserve has a long history that dates back to 1949 when it was first gazetted as a Catchment Forest with an area of 13,652.1 ha...
Wadau naomba kuuliza unapoenda kuripoti kituo kipya baada ya tamisemi kukuruhusu kuhamia mkoa mwingine je barua ya utambuliasho unaipata WAP?kwa ajir ya kwenda kumpa boss wako Wa kituo kipya...
Hai,Wanafunzi wa tatu wa shule ya Sekondari Sawe Kijiji cha Sawe Wilayani Hai Mkoani Kilimanjaro wamesimamishwa shule baada ya kubainika kuwa wajawazito
Mwenyekiti wa Kijiji cha hicho Emanuel...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.