Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) kwa kushirikiana na Bodi ya Uhasibu (NBAA), inawatangazia Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu nchini, kujitokeza Kusajiliwa kwa lengo la kutambuliwa kwenye...
Kuna tetesi kuwa chuo kikuu cha dodoma kimeandaa mkakakti wa kuhakikisha waajiriwa wengi wanatoka kwenye dini moja kubwa hapa nchini ambayo hadi sasa watawala wake wengi wa juu ni waumini wa dini...
HAbar wana jukwaa mm ni muhitim nna shahada ya elimu .ninahitaji kupata udhamini wa kwenda kusoma digrii ya pili katika nchi yoyoye ile au hata apa tanzania .lkn shida ni namna gani nna weza...
Imegundulika ya kwamba 99% ya Vifo vinatokana na ama Wahadhiri au Wanafunzi wa Elimu ya Juu ( Vyuo Vikuu ) nchini Uganda Kujitoa Uhai wao ( Kujiua / Kujidedisha ) mara kwa mara ni Mahusiano ya...
Ndg zangu Nina shida ninaomba mnisaidie kunipa maelezo kwa anayefahamu haya maswala. Mimi nilikuwa nikisoma moja ya kati ya vyuo vikuu vinavyopatikana hapa nchini(nisingependa kukitaja). Lakini...
Jamani nipo nafanya data analysis ila nimekumbana na changamoto hapa. Nilikua na site tatu wakt wa data collection na kuna swali lilikua na multiple responses hvyo basi nahitaji Bar chart ambayo...
Msaaada wenu wadau.
Niliapply chuo cha University of Dar Es Salaam Computing Centre kule Posta Mpya huku kaztika fomu ya maombi ya chuo nikijaza kwamba nitaingia asubuhi saa 2 hadi saa 6 mchana...
He is the most honoured and degraded at the same time in the same world.
1. In the USA, the people who are considered as VIPs are; Scientists Doctors, Engineers and TEACHERS
2. In France, only...
Wakuu kama kuna yoyote aliyefanikisha kutuma maombi kwa hizi scholarship atoe muongozo tafadhali.
Natanguliza shukrani za dhati.
Sent using Jamii Forums mobile app
HAbar wana jukwaa mm ni muhitim nna shahada ya elimu .ninahitaji kupata udhamini wa kwenda kusoma digrii ya pili katika nchi yoyoye ile au hata apa tanzania .lkn shida ni namna gani nna weza...
Jamani nashauri kama kuna mtu yeyote ana ndugu yake amemaliza form 4 mwaka jana...asijisumbue kumtafutia shule eti kusoma advance(form 5 na 6)...hiyo level ni ya matesobna kupoteza muda tu...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda katika kuwawezesha watoto wa kike waliokuwa wanafaulu vizuri masomo ya sayansi lakini wanashindwa kuendelea na masomo, kwasababu ya ugumu wa maisha...
Kuna utata kuhusu kujiunga na masters hapa tz ikiwa ati kila chuo kinataka Gpa na cut off ilozoweka.tufahamishane point ambazo mtu waweza soma masters.Nimepata Lower second ya point 3.3 Katika...
Inakumbukwa kuwa tarehe 20/Nov/2018 ,Niliibua suala la rushwa ya ngono katika chuo cha SAUT Mwanza hii ilikuwa kabla ya Dr.Shule kuibua zile tuhuma za rushwa ya ngono UDSM tar.27/Nov/2017 siku...
wakuu naombeni msaada wenu kama kuna anayejua ninakoweza kupata hivi vitabu ya Elvis Musiba, vikiwa na stellingi Willy Gamba.
Vitabu hivyo ni kama vile:
1.Kikosi cha Kisasi
2.Kufa na Kupona...
Kijana wangu amepata FOUR na kwa four yake sidhani kama hata certificate college watamkubali...wazo nililonalo ni, kureseat kwajili ya kufanya paper tena, changamoto ni kwamba sielewi utaratibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.