Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Soma hapa kwani nini ipo hivyo; Typical Food Science and Technology Activities in the Food IndustryDepending on the size and type of factory or organisation that they are employed in, food...
1 Reactions
21 Replies
13K Views
Jamani naomba kufahamishwa wapi nitaweza kupata centre ya kufanyia mtihani kwa wale wanaorudia kidato cha NNE maeneo ya mwanza mjini kati na naomba nifahamishwe gharama zake na ikiwezekana na...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari wanajfm Hvi hii Kozi ya local government management inayotolewa katika chuo cha mzumbe main campus hinalipa na hinahusika na ajira gan . Kwenu wana jfm msaada . Sent using Jamii Forums...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Mada tajwa hapo juu inajieleza. Naombeni mnisaidie shule nzuri ya boarding (serikali) kwa olevel ili niweze kumpeleka kijana wangu. Aje alisaidie taifa. Mm ni maskini siwezi kumlipia private...
1 Reactions
14 Replies
29K Views
Habari wakuu! Je! Ni hatua gani za kuzifuata ili kuweza kusajiri au kuanzisha kituo cha mitihani kwa ajili ya watahiniwa binafsi (Private candidates). Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Naomba mwenye notes za general chemistry nikipata za ngaiza nitashukuru anisaidie Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
2K Views
shule ipo DSM kutwa na bweni jinsia zote ada kutwa laki 7 kwa o'level na advance kwa masomo ya sanaa tu kwa bweni ni mil 1.4 ada inalipa awamu nne ( 400000 ,300000,400000,300000) kwa bweni na...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
YAWEZEKANA ! Unasoma sana lakini matokeo yakitoka hutamani rafiki au hata wazazi wako wajue kile ulichopata AU unafanya vizuri darasani na mitihani ya kawaida lakini inapofika muda wa kufanya...
16 Reactions
37 Replies
49K Views
Wana jf ningependa kufahamu kuhus m.e course na ada yake diy Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Jaman msaada kwa yeyote anayejua building construction company zinazopokea watu wa field Mimi ni first year UDSM msaad wakuu
0 Reactions
1 Replies
2K Views
1}UDSM-engineering,economics,Llb,PSPA,sociology,Bcom,education,computer science. 2}SUA-agriculture,veterinary medicne,animal science. 3}mzumbe-accounting+management. 4}muhimbili-MD+pharmacy...
4 Reactions
118 Replies
69K Views
Private School vs. Public School: Facts, Benefits & Statistics Hudson Lindenberger,Fatherly 10 hours ago When it comes to deciding whether to send children to private school vs public school...
0 Reactions
1 Replies
649 Views
kipi chuo kizuri kinachotoa mafunzo ya course za computer ambacho kipo karibu na maeneo ya tegeta Dar es salaam??
2 Reactions
5 Replies
2K Views
nimechaguliwa UDOM barchelor of education in science ,nina div 2 ya 11. japo serikali ilisema hii fani ni first priority lakin mkopo niliopata ni 28%. nimeamua kuahirisha mwaka mpaka...
2 Reactions
23 Replies
5K Views
Naombeni msaada nimefanya mtihani wa form 6 mwaka jana. Nilisomea PCB nimekosa point mmoja tu nina E ya physics ila mengine yote na C Lengo langu kubwa nije kusoma course ya afya. Wazo langu...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Wakuu asalaam Naombeni uelewa wenu kuusu uyu dogo wa kike je anaweza kwenda advance kwa alama izi...na kama awezi kwenda hakuna corse yoyote itayomfaa???? English.B kisw.C history.C civics.C...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Naomba kujua gharama ya ada na direct cost ya chuo chochote kilicho na bachelor ya philosophy and political science au International relations. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu nahitaji account ya AdSense Kwa anaeuza No: 0653475488 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
544 Views
More than 49 innocent Muslims were killed by a western extremist with the aim of creating general panic among the Muslim community in the New zealand and deter many the would be Muslim migrant not...
0 Reactions
3 Replies
616 Views
Habari zenu wana jukwaa. Kuna jambo naomba wenye utaalamu wanipe muongozo kuhusiana na ufamasia. Mimi najianda kuingia chuo kikuu Ankara(Turkey) kusomea pharmacy, awali halikua chaguo langu la...
0 Reactions
9 Replies
11K Views
Back
Top Bottom