Nafasi zinatoka lini? Au kama zimeshatoka nazipata katika website gani ? Na utaratibu uko vp Wa kuaapply ualimu wa certificate
Sent using Jamii Forums mobile app
Shule ipo vizuri Ada ni laki 7 na hutolewa katika awamu nne. hii ni sawa na bure kabisa. Shule ipo Ruvuma na inapokea bweni na kutwa. Kuhamia pia. More explanation PM
Wadau nauliza ada yakusoma certificate of law pale ruaha University ni kiasi gani?
Hata vyuo vingine pia
Na course nzuri Kati ya medical laboratory na law ipi ambayo ipo marketable
Sent using...
Naomba kufahamishwa ni lini nafasi za masomo ya ualimu zinatoka. Na zinatangazwa website gani tofauti na NACTE.Au kama pia nimechelewa naomba kufahamishwa. Shukran
Sent using Jamii Forums mobile app
Sharing is caring.
Ba ndugu hii scholarship zimetangazwa kwenye website ya chuo kikuu kimoja maarufu Kenya juu ya hizo nafasi za scholarship kwa watu wa nchi za Africa Mashariki na Kozi hiyo ya...
Kama kichwa cha habari kinavyosema mana kuna watu wananiambia procure diploma unasoma miaka miwili accountancy diploma mitatu na kama ipo ivyo kwanini miaka haijawekwa sawa wakati course zote ni...
ANNOUNCEMENT FOR REPUBLIC OF KOREA AWARDS
SCHOLARSHIPS (MASTER’S DEGREE) FOR 2019/2020
Applications are invited from qualified Tanzanians from Public Sector to apply for the Master training...
Mm ni mwanafunzi wa mwaka wa 2 chuku kikuu cha dar es salaam.
Nasoma course ya physical education and sport science.
Nahitaji shule ya private kwaajili yakufanyia field trip mwenzi wa 7 mwaka...
Tuliosomea Dar es salaam miaka ya 90's, especially mid to late-90's, bila shaka tunafahamu Mzizima Secondary School walivyokuwa wanatuburuza kielimu! Bado namkumbuka dada mmoja wa Kiasia mwaka...
Kulingana na tatzo la ajira TZ tunadhani nimfumo gani wa elmu unaoweza kutumika kuwaandaa wanafunzi mapema kuondoa dhana ya kuajiliwa na kujiandaa kwa hali zote
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu zangu naomba kuuliza hivi tangazo la ajira kwa walimu deadline yake ni lin hasa kati ya tarehe 13 au 15 march! maana napata mashaka mchakato wa kuingia OTEAS kwangu umekuwa mgumu siku ya leo...
Wakuu mwenye uelewa na mfumo huu naomba aweke wazi. Maana kuna mkanganyiko mkubwa sababu veta wanatumia Levels na grades.
Kama kuna mtu anajua equivalents za levels na grades vizuri atuambie
Habirini, Ndugu wanajukwaa nilikuwa nataka kufahamu tarehe rasmi ya kutuma maombi kwa vyuo kwa sept intake, au kama yeyote mwenye ALMANAC atuwekee hapa
Mbali na hilo mwanafunzi mwenye credits 3...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.