Assalam Aleyqum\ Bwana Asifiwe,
Asilimia Kubwa Ya Wanafunzi Wanahangaika Kuweza Kujua Mustakabali Wao Wa Kielimu Hasa Baada Ya Kupokea Matokeo Ya Kidato Cha Nne, Wengi Wao Wanataka Kujua Je...
Wakuu habari,nmefanikiwa kuchaguliwa kidato cha tano awamu ya pili 2017,tafadhali mwenye kufahamu vitabu vizuri katika masomo ya physics na chemistry naomba anijuze
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba mnisaidie kupata video za tamthiliya hizi hapa:
Kiswahili:
1. Orodha
2.ngoswe penzi kitovu cha uzembe
3. Kilio chetu
kiingereza.
1. This time tomorrow
2the black hermit
3. Three suitors...
Ni pale umekaa kwenye chumba cha mtihani unafanya maswali kwa kujiamini kabisa ukidhani umepasua then msimamizi anakuja anasimama nyuma yako kwa muda then anatangaza "JAMANI SOMENI MASWALI KWA...
Habar wanabod Mimi ni mwalimu niliyehitim kidato cha sita comb HGL
HISTORY D,GEO E na language S je nimekidh vigezo vya ndalichako kwa upande Wa digrii?nataka mwaka huu niombe chuo hata open...
Habari zenu wakuu, poleni kwa majukumu ya kila uchao. Kama mnavyofahamu ajira ni ngumu kipindi hiki, sasa basi katika kuhangaika nimepata katwisheni ka kufundisha kidato cha tano na sita...
Tunatoa huduma zifuatazo:
1. Preparation of concept note for academic researches.
2. Preparation of academic research proposals.
3. Preparation of research findings and report writing.
Data...
*MADA NUMBA 1: FREE REFERENCE MANAGEMENT SOFTWARE*
Uandishi wa paper, assignment au thesis hutegemea Zaidi organized citation na reference ambazo huifanya kazi yako kuwa na uhalali na pindi...
Habari wana jf
Msaada kama kuna mtu kaweza kuapply ajira ya ualimu oteas maana mimi tokea jana ina load tu haifunguki kabisa....
Sent using Jamii Forums mobile app
Samahanini tena wana jf ningeomba mniambie kuna vipengele vingapi vya ICT na ningeomba mnitajie ili niweze kufanya uchaguzi sahihi
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu Habari naomba kuuliza hivi TCU wanakata kiasi gani pale mhitimu wa chuo kikuu anapoajiriwa kwa Mfano kwenye ajira kama za security company
Naomba kujua maana nipo kwenye mchakato wa...
naomba msaada kwa mliofanikiwa kutengeneza accounts na kufanya applications, kunavigezo gani hasa vya kuzingatia upoingia kutuma maomba baada ya Ku create account?
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.