*Muhimu*
1. Hakikisha upo katika internet nzuri.
2. Nyaraka ziwe katika pdf na kila moja isizidi 1Mb.
3. Mwombaji akiwa na changamoto apige simu zilizopo kwenye video manual.
4. Deadline ya...
Hamjambo wadau,Kenya has decided to implement a new education curicullum and discard the old 8-4-4 system,the old system has long been overtaken by events,its not responsive to current challenges...
Jamani naomba msaada kwa wale ambao wanafanya application juu ya Ajira za walimu zilizotangazwa juzi kati, Sasa nimeappload academic transcriptl lakini nikiviewe naambiwa ni nimeappload Grade A...
Habari wana Jf.. kuna matangazo mawili yanasambaa mtandaoni Kuhusiana na ajira za ualimu liposuction linatoa ruhusa kwa mwalimu mwenye bachelor kuomba nafasi shule ya msingi na lingine limeondoa...
Habari za muda huu member wa Jf,, natumaini mko vizuri kiafya.
Kichwa cha habari kama kinavyojieleza na mdogo wangu kahitimu form 4 mwaka jana na anahitaji kusomea kombi za sayansi bahata mbaya...
Habari ndugu wana Jf kuna.... kuna matangazo mawili yanasambaa mtandaoni Kuhusiana na ajira za ualimu lingine linatoa ruhusa ya waalimu wenye bachelor kujaza shule ya msingi na lingine halina icho...
Kuna dogo ana iv ya 29,
kiswahili C,
English D,
Geography D,
Civics F
Biology D,
History D,
Chemistry F,
Physics F,
Maths F,
Naomba kuuliza kwa ufaulu huo anaweza somea coz gan? Yenye masirahi...
Mdogo wangu kamaliza kidato cha IV mwaka 2018 kapata Div III 23 ANA C CIVICS ,C ENGLISH, B KISWAHILI, C BIOLOGY, D HISTORY, D GEOGRAPHY, D MATHS. Je anaweza jiunga Form V na Comb zipi????
Sent...
Mimi ni mwanafunzi niliye maliza form four matokeo yangu ni Physics C chem D math D kiujumla nina three 24 ushauliwenu wanajamii comb ya pcm nisome private form 5&6 malengo yangu baadae nije...
Jamani msaada,
Mdogo wangu ana ufaulu wa Division III.25
Uwiano mzuri wa ufaulu upo katika masomo ya HKL ambapo History-C, Kiswahili-C na English-B
Je, atapata shule ya Serikali?
Guys,
Mimi Nina Mdogo Wangu, Amemaliza Kidato Cha Matokeo Yake Siyo Mazuri Sana, Hatapata Nafasi Ya Kuchaguliwa Shule Ya Serikaki,
Kutokana Na Hali Ya Kifamalia, Namtafutia Shule Binafsi Ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.