Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Wakuu Huko Tanzania kukoje upepo wa ajira?
3 Reactions
185 Replies
14K Views
Heshima kwenu!! Naomba kama wewe ni mmoja kati ya waliochaguliwa Chuo cha COTC mtwara kozi yeyote ile tafadhari ni inbox namba yako tuweze kupeana details! Na pia kama kuna mtu anakifahamu aweze...
0 Reactions
26 Replies
8K Views
Nipo kwenye harakati za kuomba nafasi za kazi za ualimu zilizo tangazwa juzi juzi. Nimeingiza details zote isipokuwa sehemu ya Attachment Panel ..Vyeti haviwi uploaded vinaishia hapa. Hebu mwenye...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
hivi kwanini vijana wengi hatutumii hizi fursa za scholarship ili kujiendeleza kielimu,tunafeli wapi vijana? wengi wetu tuna mtizamo hasi kuhusu hizi nafasi za ufadhili. shida iko wapi
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Kwa wale waliopitia na wanaoendelea kufanya mitiani ya bodi mnafahamu hivi vitambulisho vinavyotumika. Sasa ukiangalia msimamizi anakagua picha ya kitambulisho na kuona kama inafanana na mtahiniwa...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
wasalaam waungwana! kuna kozi hapo dit inaitwa certificate ya computer engineering and IT(NTA5). Noamba kujua kwa mtu ambae kasoma certificate ya IT(NTA4)) pekee kutoka chuo kingine anaweza...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Naombeni kujua kwenye course ya ICT nafasi za ajira ziko vipi. Na unaweza pata kazi sehemu gani na sehemu gani Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
822 Views
Wakuu Kwa aliemaliza mwaka Jana art aliefanikisha kuomba anipe matumaini naendelea kukusanya nauli Hali ngumu.. Nimemaliza chuo kwa Jana.. Nimesikia ajira zenyewe ziko limited Sent using Jamii...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Karibuni tukumbushane mambo mbalimbali kuhusu CHUO chetu pendwa cha ufundi ARUSHA TECHNICAL COLLEGE bila kusahau mikazo ya supplementary haswa AUTOMOTIVE DEPARTMENT,ELECTRICAL DEPT na nyinginezo...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
TAARIFA KUTOKA UONGOZI WA WANAFUNZI CHUO KIKUU CHA DAR-ES-SALAAM WANAJIPANGA KUFUNGUA KESI YA DEFAMATION DHIDI YA MTANGAZAJI WA CLOUD FM NA MC WA KITCHEN PARTS MAARUFU KWA UROPOKAJI EPHRAIM...
1 Reactions
19 Replies
9K Views
Habari!nilikuwa naomba msaada wa kufahamishwa vyuo vinavyotoa elimu ya udereva vilivyo chini ya veta yaani vilivyosajiliwa....asante Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
2 Replies
686 Views
wewe kama mfasiri wa lugha wakati mwingine yawezekana ukakosa visawe kabisa visawe vya istirahi za lugha chanzi yako katika lugha lengwa yako hali hiyo ikijitokeza inatakiwa kuunda istirahi yako...
0 Reactions
0 Replies
953 Views
Imezoleka ratiba ya mtihani wa kuhitimu madunzo ya ualimu z huwa zinatoka pamoja na mtihani wa kidato cha sita lakini cha kushangaza imetoka ratiba ya kidato cha sita peke yake lakini ratiba ya...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Fuatilieni huu uzi vizuri na nyie itawauma tu. Misingi ya elimu yetu sasa inasikitisha sana. Kuna shule zinaitwa Technical secondary school zapata Nane nchi nzima tena shule za historia kubwa...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Huo ndo ukweli Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habar zenu wana jf! Nauliza kama inawezekana mtu mwenye diploma ya civil engineering kusomea bachelor ya IT.
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu, kama kichwa cha habari kinavo sema aidha nimefurahishwa sana na hukumu ya yule mwalimu japo wangempa kifungo cha maisha tu ingekaa sawa kabsa, halaf walimu waliokuwepo kwenye...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Thread special ya kupata qualified teachers katika fani za 1)Mechanical Engineering -Motor Vehicle mechanics -Welding & Metal fabrication -Workshop Technology -Mechanical draughting 2)Electrical...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Knamtu anakipara nilismsindkizakunua bidaha ya forever for bald ambazo ni shampo, conditioner, royal jell, bee pollen kwa ss ni mwez xx aoni results so inachukua mda gan matokeo yaonekane asante
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwa wale waalimu waliofanikiwa katika kufanya applications zao vizuri nawapongeza sana,! But nawakumbusha tu kuwa kutuma maombi ni ishu nyingine na kuchaguliwa kupewa hiyo kazi pia ni case...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom