Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Nataka kujua hivi ukiwa na diploma ya social work je unaweza kuruhusuwa kuendelea na degree ya psychology? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
3K Views
TRY THE FOLLOWING SCHOLARSHIPS FRIENDS, THEY MAY HELP YOU International Leadership Scholarships for Masters in UK, 2014 World Citizen Talent Scholarships, Netherlands Loughborough...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
University College Maastricht (UCM) will give financial support to three students who will be invited to enroll at UCM in September. Who is eligible for the scholarship? Highly qualified...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba wabongo tuchangamkie fursa za scholarships za kusoma nje kwa level ya bachelor, mastersa na PhD. Tumekuwa tumelala sana huku tukipigwa bao na nchi nyingi za kiafrika kama nigeria na ghana...
6 Reactions
30 Replies
5K Views
Kwa wale mnavutiwa kusoma Shahada ya Uzamili na Uzamivu nchini Ufaransa chuo cha Agro Paris Tech hasa kozi za maji na kozi nyingine zote. Napenda kuwataarifu kuwa kuanzia kesho saa 3 Asubuhi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
1.0 Call for Application: Applications are invited from qualified Tanzanian for undergraduate, Masters and Doctorate, Scholarships tenable in Peoples Friendship University of Russia (PFUR) in...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
naomba kuuliza wadau juu ya OTEAS,, je baada ya kumaliza process zote utajuaje kuwa maombi yako yamepokelewa sehemu husika?,,, maana nnachoona ni baada ya kujaza mikoa uki click sehemu ya save ndo...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Yafuatayo ni maelezo ya namna ya kuomba fursa za kimasomo nchini China Maelezo haya yameandaliwa na Watanzania wanaosoma China- kupitia HEOCT (Higher Education Opportunities in China for...
2 Reactions
5 Replies
5K Views
Aisee hii kesi sitoisahau kabisa!! Hata baadhi ya rafiki zangu mpaka waleo wamebaki na makovu mwilini has a sehemu za makalio. Nakumbuka ilikua mwaka 2016 ambapo nilikua kidato cha 3 shule ya...
1 Reactions
38 Replies
4K Views
Habari zenu ndugu. Naomba kufahamishwa ni zipi shule mbalimbali za binafsi (private) zinazofanya vizuri katika matokeo ya form 6 hasa kwa miaka ya hivi karibuni (2016/17/18). Nina wadogo zangu...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Message…Sorry! kuna ndugu yangu kamaliza 4m four kapata div 3 ya 24 civics C Geo C bios C kisw C history C math F English D anataka kwenda chuo cha water Institute atapokelewa kwa Alama hizo...
1 Reactions
4 Replies
863 Views
Kama haya ndio yanayosomwa...kwa sababu hayaakisi maisha halisi wala hayagusi changamoto zake na kuzitatua... Sasa nimsome Panzi na kuweka kichwani parts zake zote ili iweje... Hebu tuambieni...
3 Reactions
22 Replies
5K Views
wakubwaa n muhtm wa kdato cha 4 mwaka jana2018 nna 2 ya 19 jee kwa pcm nna DCB jee nna vgezo vya kujiunga DIT??
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakuu kuna ndugu yangu anaulizia kituo cha kufundisha watoto hawa wenye matatizo ya kusikia na kuongea cha private hapa Dar aul bara
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Wanajamvi kuna mtu kaniuliza mtoto wake aliepata Division III ya point 25 kwa alama hizi KISWAHILI-C HISTORY-C ENGLISH-C BIOLOGY-C GEOGRAPHY-D CIVICS-D BASIC MATHEMATICS-F PHYSICS-F CHEMISTRY-F...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Habari zenu wana Jf , Mimi na mdogo wangu kamalimaza Form4 Ana DIV 2 Ya 21 Matokeo yake ni PHY-D, CHEM-D, BIOS-B, GEO-C, MATH-F, ENG-B, KISW-C, CIV-D, COMP-C, HIST-C Na anataka kwenda kombi ya PCB...
1 Reactions
31 Replies
6K Views
Kuna mdogo wangu mwenye umri wa miaka 19, amemaliza kidato cha nne mwaka 2017 na alipata Division Four Point 26, Civics C English C Kiswahili C History D Geography D Biology D Math F Mpango wake...
1 Reactions
39 Replies
6K Views
Kwasasa nipo chuo kikuu naelekea kuhitimu, ila nafsi yangu haina amani, nimesoma shule ya kata, changanya na utoto, na ukosefu wa walimu, nikapata div 2 ya 21 mwaka 2010, Lakini hadi leo nafsi...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Mwenye taarifa zaidi na mawasiliano ya shule "Stella Matutina Lighano Seminary" ya songea naomba anisaidie. Asante. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
942 Views
Habari zenu wana jamvi kama mnavyojua matokeo ya kidato cha nne yametoka leo tar 24 Jan 2019. Kwa matokeo haya CIV - 'C' HIST - 'D' GEO - 'D' F.ART - 'C' KISW - 'D' ENGL - 'C' BIO - 'C' B/MATH -...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Back
Top Bottom