Kam kichwa cha habar kinavyo sema mdogo wang amepata
Civic-C
Hist-C
Geog-D
Kisw-C
Engl-C
Bios-D
Math-F
Je atachaguliw adavnc ya serikal??.msaada tafadhal
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni moja ya Shule za Serikali hapa Mkoani Mbeya inayoongoza kwa Ufaulu na kuupa Mkoa Heshima.
Ni kwa Matokeo yote Form 4 na 6
Mlioko Mbeya na Mliosoma hapa na kuhifahamu hii Shule nadhani...
Habari Wana Jukwaa,
Jumuiya Ya Wazazi Tanzania Inamiliki Shule Kadha Wa Kadha Ndani Ya Tanzania Zaidi Ya 70,
Ikiwemo
Itende- Mbeya
Ujiji High Schoo- Kigoma
Sangu - Mbeya
Ivumwe- Mbeya
Meta-...
Habari wanaJF
Mimi ni Mwanafamilia mwenzenu wa humu japo sina Muda mrefu sana ila nafurahia sana jinsi kulivyo na Ushirikiano mzuri kwenye shida na raha lakini pia taarifa mbalimbali nazipata...
Sio kwamba Watu au Wanafunzi wa Kagera wana akili sana kuliko wengine lakini ni juhudi za Wananchi, Walimu na Wazazi hasa kutathmini elimu kwa mtoto kuliko kitu chochote kile
Ukichungulia vyuo...
Nahitaji kujua centre inayotoa tuition, Moshi mjini. Nahitaji centre hyo iwe inalaza wanafunzi (boarding) na gharama zake, kwa masomo ya O'level
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari,
Mdogo Wangu Amepata
English C
Civics C
Kiswahili C
Bios D
Geo D
Hist D
Math F
Anataka Aanze Certificate Ya Sheria Chuo Kikuu Cha Dar Es Salaam
Je Kwa Matokeo Hayo Anaweza Pata...
Wadau wa Elimu mtanisaidia kwa hili,
Iko ivi...
Nataka kumsomesha mdogo wangu wa kike masomo ya sanaa.
Sasa mimi mwenyewe tiamaji tiamaji kwa hiyo shule nayoitaka sitaki mbwembwe(shule zenye ada...
Amani ya mola iwe juu yenu wote,
Ni matumaini yangu kuwa wote tumeamka salama na kwa wale mnaokabiliwa na mitihani yoyote basi M/Mungu awafanyie wepesi mpate suluhisho la mitihani hiyo...
Habari zenu wana jamvi natumaini wote muwazima.
Nimemaliza kidato cha nne mwaka jana Na nimepata div 3 ya 24.
Lengo langu ni kusoma HGE lakini nimepata History D Na Geography D.
Je naweza enda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.